Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Baada ya Pina kukosa kiti cha udiwani 2010 sababu aliyoitoa ilinifurahisha japo yawezekana ilikua na ukweli
 
Yaah! bonge ya ngoma nakumbuka Pina kuna simu alialikwa kilingeni na kina Nikki mbishi kipindi hiyo kilinge kilinge kweli, sasa ulifika muda wa kuimba hii ngoma ebhna asikuambie mtu kila mtu ilimteka moyo japo ilikua imetoka muda tu
kurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyoko
 
Hajawahi kumnyoa nywele Salama wa Eatv ni story tu za mtaani.

Aliwahi kupeleka posa ya kutaka kumuoa Mr. Blue enzi hizo kanabana pua.

Kiufupi mshikaji mmea ulimkataa na ilibaki kidogo tu awe mwehu.
 
kurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyoko
Kiitikio pia yule demu alipita vizuri sana sana
 
kurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyoko
Hiyo ngoma inaitwa Umoja ni Nguvu Kalapina ft Mau Kolimba
 
Kiitikio pia yule demu alipita vizuri sana sana
Umoja ninguvu utengano nidhaifu"" waliojitenga nasi" wamekosa uaminifu"" jeuri na dharau huo si wetu "" wasifu " (huo siwetu wasifu)...hapo mbele zinafuata code za piano...daahh acha kabisa
 
Mimi nina albamu yao ya kwanza ile kufa au kupona kuna nyimbo kama mstari wa mbele,harakati,dira,mchumba,uhuru wa kujieleza zipo kama 17 hivi
 
Hiyo ya bou nako watuongooea walimchangia kikosi kizima ila mmoko mmoko hawez kitu kwa b nako
 
naam nikweli mkuu'" ngoma hiyo na mstari wa mbele ziliniteka mnoo akili""

hip hop bila Madawa nayo ilikuwa noma""
Mstari wa mbele na Nyimbo tosha mimi nazielewa zaidi ndio mana hadi leo siwezi kuzikosa kwenye simu yangu...
 
Umoja ninguvu utengano nidhaifu"" waliojitenga nasi" wamekosa uaminifu"" jeuri na dharau huo si wetu "" wasifu " (huo siwetu wasifu)...hapo mbele zinafuata code za piano...daahh acha kabisa
Hahah!!...
 
Hiyo ya bou nako watuongooea walimchangia kikosi kizima ila mmoko mmoko hawez kitu kwa b nako
Braza hukuwepo kwenye scene hayo maneno ya vijiweni hayatokusaidia,bifu lao sis wengine tunalijua kiundani kwa hiyo ukiongea uongo tunakuweka kwenye ukweli acha kupotosha watu.Toka lini teja akawa ana nguvu wewe mkuu?
 
Mimi katika traki zote naipenda "Maskini akipata" mashairi mazito halafu beat imesimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…