Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Ndio hapo sasa. Hahah!!Kwanini Zola D asimjaribu Pina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa. Hahah!!Kwanini Zola D asimjaribu Pina?
Mkuu mbona husemi wewe unataka kumjaribu Zola D hahahahaKwanini Zola D asimjaribu Pina?
Anijaribu yeye aone, ila mimi huwa sijaribiwi ujue[emoji3]Mkuu mbona husemi wewe unataka kumjaribu Zola D hahahaha
Mkuu mbona husemi wewe unataka kumjaribu Zola D hahahaha
Hahah!! Basi acheni msijaribianeAnijaribu yeye aone, ila mimi huwa sijaribiwi ujue[emoji3]
kurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyokoYaah! bonge ya ngoma nakumbuka Pina kuna simu alialikwa kilingeni na kina Nikki mbishi kipindi hiyo kilinge kilinge kweli, sasa ulifika muda wa kuimba hii ngoma ebhna asikuambie mtu kila mtu ilimteka moyo japo ilikua imetoka muda tu
Kiitikio pia yule demu alipita vizuri sana sanakurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyoko
Hiyo ngoma inaitwa Umoja ni Nguvu Kalapina ft Mau Kolimbakurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyoko
Umoja ninguvu utengano nidhaifu"" waliojitenga nasi" wamekosa uaminifu"" jeuri na dharau huo si wetu "" wasifu " (huo siwetu wasifu)...hapo mbele zinafuata code za piano...daahh acha kabisaKiitikio pia yule demu alipita vizuri sana sana
naam nikweli mkuu'" ngoma hiyo na mstari wa mbele ziliniteka mnoo akili""Hiyo ngoma inaitwa Umoja ni Nguvu Kalapina ft Mau Kolimba
Siku hizi Mziki wa wadau mkuu wanataka kiende hewani kile wanachopenda waozile tracks ndo zinatakiwa kupigwa redion wakati huu maana zinzrefleflect uhalisia
Hiyo ya bou nako watuongooea walimchangia kikosi kizima ila mmoko mmoko hawez kitu kwa b nakoNakumbuka alimtandika ngumi chid benzi pale maisha club, alimpiga bou nako mpaka akalazwa aga khan, Alikuwa ana gym lake block 41 ukitaka kuingi gym lazima upige push up 1000,aliwahi kumnyoa nywele salama wa eatv, yeye ndiye aliyeanzisha mambo ya kusema hiphop sio bongo flava na bado ana chuki na bongo flava mpaka leo, anapinga madawa ya kulevya ila na yeye anatumia mmea, alishawahi kupigana na p funk majani pale bongo records ilikuwa Noma, aliwahi Kuwa na bifu na kingoko, dudubaya n.k.....Ongezea mengine, Kalapina!!!!!!
Mstari wa mbele na Nyimbo tosha mimi nazielewa zaidi ndio mana hadi leo siwezi kuzikosa kwenye simu yangu...naam nikweli mkuu'" ngoma hiyo na mstari wa mbele ziliniteka mnoo akili""
hip hop bila Madawa nayo ilikuwa noma""
Hahah!!...Umoja ninguvu utengano nidhaifu"" waliojitenga nasi" wamekosa uaminifu"" jeuri na dharau huo si wetu "" wasifu " (huo siwetu wasifu)...hapo mbele zinafuata code za piano...daahh acha kabisa
ya kale dhahabu chief""Hahah!!...
Braza hukuwepo kwenye scene hayo maneno ya vijiweni hayatokusaidia,bifu lao sis wengine tunalijua kiundani kwa hiyo ukiongea uongo tunakuweka kwenye ukweli acha kupotosha watu.Toka lini teja akawa ana nguvu wewe mkuu?Hiyo ya bou nako watuongooea walimchangia kikosi kizima ila mmoko mmoko hawez kitu kwa b nako