Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Kuna ngoma ya kikosi walimshirikisha Belle 9 inaitwa *maisha yangu nyimbo tosha* ilikua ni ngoma kali sana ila sikuwahi kusikia ikipigwa redioni labda kwasababu ya ukali wa maneno ya Pina
Hii ngoma nimeitafuta sana siipati, ni kama niite basi remix ya wakali kwanza. Humo napenda yule jamaa anaeimba "nilipodakwa na kichungi, ticha akamwambia dingi...sijui ni nani yule jamaa huwa napenda sana anavyochana
 
Mkuu ni nyimbo ipi unaitafuta? nyimbo nyingi za kikosi zipo mikito.com hebu jaribu kuingia huko uitafute kama ukiikosa nishtue.
 
Hii ngoma nimeitafuta sana siipati, ni kama niite basi remix ya wakali kwanza. Humo napenda yule jamaa anaeimba "nilipodakwa na kichungi, ticha akamwambia dingi...sijui ni nani yule jamaa huwa napenda sana anavyochana
Nakupata sana mkuu umenikumbusha sana ile verse ya mwana anasema 'sio mida wa stori nyingi' mwenyewe naitafuta ila nikiipata tu nakuweka kwenye tag list
 
Back
Top Bottom