Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshauri watu wengi sana kuhusu mahusiano, sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Sure,uki date na wanafunz wa chuo ni pasua kichwa, ila sasa ndo vtamuu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila akianza kuomba mzigo inakuwaje napo? samehe mara 70 wewe
Una cheka hizi changamoto za maisha, Mimi mtu akitaka ni mu delete permanent aanze matusi hata aombe msamaha sirudi nyuma
 
[emoji23][emoji23][emoji23] simpi kabisa wallah na anikome vitu vingine havina msamaha kabisa wallah
Ukipenda mzigo unatoa mbona bila shuruti na kusamehe ni chapu! Hizo Courage mnakuwaga nazo kwa ma Zoba😅😅😅
 
Mzee mie nahisi nimerogwa yaani kumpa hela manzi daah naweza tundukiwa hata dripu kwa kuumwa kisichojulikana[emoji16][emoji16][emoji16]
Hio ni roho mbaya sio tena ubahili...ubahili ni mtu anatoa ila mara chache au kdogo.
 

Kiukweli wanaume wa hivi wanaboa, mwanaume unatakiwa uwe na misimamo ya kiume sio kupelekeshwa pelekeshwa
 
Kiukweli wanaume wa hivi wanaboa, mwanaume unatakiwa uwe na misimamo ya kiume sio kupelekeshwa pelekeshwa
Huo msimamo determinant yake ni hela sikuhizi😅! Kama wewe ndio umeshikilia uchumi halafu ukawa mtu wa kukoroma koroma usitegemee miujiza. Mwanaume akikosa hela ni kama simba aliomwagiwa maji. Hata mie ikitokea niko hovyo mfukoni nakuwaga kama panya kalowa.
 
Aisee, asante sana kumpa kura jiwe!
 
Max Angeongeza option ya reaction,hii comment nimeipenda lakini nimecheka sana

nimeshindwa kujua niipe reaction gani kati ya kicheko na upendo maana inahtaji both reactions.
 
Yaan kuna wanawake wako fake kweli. Yaani lazima araise standard zaidi ili upate kukuna kichwa zaidi. Muache sasa ukutane nae mtaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu nakua makini nacho kama kauli. Sitaki kabisa lawama baadae tukishindwana. Kuna iphone 11 imetika beibz nataka[emoji23][emoji23][emoji23] as if she can manage
 
Halafu mkikutana na wastaarab mnawaita ma zoba...why? Ushazoea mpera mpera hahaaaa
Hapa nashindeaga paelewa[emoji23][emoji23]
We always fall for bad boys. Yaan tunapenda hekaheka kupelekeshwa. Ila jaman mpole no. Ilimradi asiwe abusive kama kupiga na kadhalika. Mpole mwenyewe hapana naamini nitamwonea
 
"Similikiwi na Mwanamke mmoja!"

ila yuko siku hizi ananiambia u were an angel to me na mi nilikua mwendawazimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…