Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Imeisha hiyooHeheheh sawa mama la mama tutarekebisha io maniaj ya swagga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hiyooHeheheh sawa mama la mama tutarekebisha io maniaj ya swagga
Jitahidini mchangamke kidogo jamani [emoji23][emoji23]H
Hahahah mazoba tuthaminiwe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Uluchokifanya ni kuweka grenade mfukoniMi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
[emoji16]"Yaani mb0.0 yako kabla sijakutana na wewe sikufikiria kuna mwanaume yuko hivyo. Ni ndogo sana"
Nilinywea feelings mpaka pvmbu.
[emoji3][emoji3]"Yaani mb0.0 yako kabla sijakutana na wewe sikufikiria kuna mwanaume yuko hivyo. Ni ndogo sana"
Nilinywea feelings mpaka pvmbu.
😂😂😂😂😂 Matusi anakutukana wewe au, anafanya complementary tu akiwa anapiga storyWangu alikuwa ana tabia ya matusi nahisi alikuwa ana pepo mchafu,nilitaka kumfunga ili akome ukenge wake, basi namchukia kuliko ibilisi ninavomchukia naona hakuwa mwanaume kamili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zoba Loves Matter [emoji23]
Hamna tusi baya kama linalohusisha manhood! Au mwanamke umtukanie hedhi 😂😂😂 atakuchukia hadi siku ya mwisho. Ndio tusi pekee linaweza kumfunga mdomo mtoto wa kike chap kwa ukali 😂😂😂Mkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 nakuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikumbwa, kuna jama moja tunafamiana Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"
Jama amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote
Siku akiamua tu analianzisha ujue Kuna watu Wana magonjwa ya akili huku wanataka mahusiano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi anakutukana wewe au, anafanya complementary tu akiwa anapiga story
Mzee mie nahisi nimerogwa yaani kumpa hela manzi daah naweza tundukiwa hata dripu kwa kuumwa kisichojulikana[emoji16][emoji16][emoji16]Umejiengua kwenye kura za maoni tu ndugu mjumbe[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakua alitoka kuangalia movie huyo..kama sio za kifilipino basi za kikorea 😂😂😂😂'You are not fitting in my dream'
Mapemaaaa nikanunua zangu fanta nikajiweka pembeni
Baadae akaanza kunibembeleza eti alipitiwa
Hapana kwa kweli sipendi Mambo ya kijinga hasa matusi hovyo huo ni ukosefu wa adabu na heshima, mwenyewe najua matusi Ila why kutukana hovyo hyo naona ni mental caseSema alikuwa anakuchamba sana hadi unaufyata [emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mama mama mama maMa!!!!!Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Nadhani hii ndio industry ngumu kuliko zote 😅Mkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 na kuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikubwa, kuna jamaa moja tunafamiana. Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"
Jamaa amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote