Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Wazuri sana hao
Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
 
Nishawahi kuambiwa kila kitu ulichoandika hapo na maneno mengine mengi yachukizayo nilitamkiwa na kabinti nilikokua navimba nako mtaani kama kumbikumbi hakaoni hatari kunila kinywa kwa daladala over the sudden kakaanza ku question utanashat wangu, my intelligence, my future ,body fitness, ndevu, urefu uongeaji huwezi kuamini ilifikia kipindi nikiwa nalalamikiwa eti kwanini sinywi bia kama vijana wengine nikaishia tu kusema kheee!
 
Nshawahi kuambiwa kila kitu ulichoandika hapo na maneno mengine mengi yachukizayo nilitamkiwa na kabinti nilikokua navimba nako mtaani kama kumbikumbi hakaoni hatar kunila kinywa kwa daladala over the sudden kakaanza ku question utanashat wangu ,my intelligence,my future body fitness,ndevu ,urefu uongeaji huwezi kuamini ilifikia kipindi nikiwanalalamikiwa eti kwanin sinywi bia kama vijana wengine nikaishia tu kusema kheee!
[emoji3][emoji3][emoji3] Ndo alikua anavunja ungo huyoo
 
Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshaur watu wengi sana kuhusu mahusiano sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Teh eti evolution yao bado inaendelea...... umenichekesha
 
Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshaur watu wengi sana kuhusu mahusiano sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Mkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 na kuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikubwa, kuna jamaa moja tunafamiana. Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"

Jamaa amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote
 
Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshaur watu wengi sana kuhusu mahusiano sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Evolution is still taking place hahaaaaa
 
Huu uzi umenichekesha na kunishangaza sana.

Ina maana kwenye mahusiano wenye kauli za maudhi ni wanawake tu? Coz naona humu wanawake siwasikii wakitoa kauli za wanaume zinazokera

Sista Heaven Sent hebu ninong'oneze basi
 
Mkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 nakuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikumbwa, kuna jama moja tunafamiana Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"

Jama amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote
Duuh hatarii
Ni mazingira gani yalitokea hadi akaambiwa hivyo
 
Back
Top Bottom