Masterplan
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 210
- 353
"Mwanaume unagubu wewe"
Daah acheni tu Nikapiga chini..
Daah acheni tu Nikapiga chini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Princess ariana grande kwenye ubora wako [emoji1][emoji1][emoji1]"we ni kwa ajili ya kukidhi haja zangu"
tunavyoongea saa hii nilishamtupia jini anahangaika nalo sipendagi dharau mimi
Umempa jina makata au jini kubeti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"we ni kwa ajili ya kukidhi haja zangu"
tunavyoongea saa hii nilishamtupia jini anahangaika nalo sipendagi dharau mimi
Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Ndio maana wahenga tunasemaga usijibizane na mwanamke, hutamuwezakuna watu wana maneno machungu hii dunia😀
Princess ariana grande kweny ubora wako [emoji1][emoji1][emoji1]
Jini la kumuandama muda wote si alitaka kukidhiwa haja zake sasa anakidhiwa mpaka anajuta[emoji23][emoji23]Umempa jina makata au jini kubeti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] Dah baharia alkuchukulia poa Sana kwa hiyo kauli yake aseeJini la kumuandama muda wote si alitaka kukidhiwa haja zake sasa anakidhiwa mpaka anajuta[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] Ndo alikua anavunja ungo huyooNshawahi kuambiwa kila kitu ulichoandika hapo na maneno mengine mengi yachukizayo nilitamkiwa na kabinti nilikokua navimba nako mtaani kama kumbikumbi hakaoni hatar kunila kinywa kwa daladala over the sudden kakaanza ku question utanashat wangu ,my intelligence,my future body fitness,ndevu ,urefu uongeaji huwezi kuamini ilifikia kipindi nikiwanalalamikiwa eti kwanin sinywi bia kama vijana wengine nikaishia tu kusema kheee!
Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshauri watu wengi sana kuhusu mahusiano, sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu😅[emoji3][emoji3][emoji3] ndo alkua anavunja ungo huyoo
Ulimuonea tena huyo mstaarabu sana yeye hachanganyi akiachana na mmoja anakuja mwingineNikagundua kumbe tulikuwa wengi sana
Teh eti evolution yao bado inaendelea...... umenichekeshaHahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshaur watu wengi sana kuhusu mahusiano sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Mkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 na kuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikubwa, kuna jamaa moja tunafamiana. Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshaur watu wengi sana kuhusu mahusiano sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Evolution is still taking place hahaaaaaHahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshaur watu wengi sana kuhusu mahusiano sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu[emoji28]
Sijakuelewa badoI agree. I witnessed[emoji28] lets meet.. sina hela... halaf anaenda kwa slay queen mwisho wa siku sasa..
Duuh hatariiMkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 nakuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikumbwa, kuna jama moja tunafamiana Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"
Jama amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote