Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Wangu alikuwa ana tabia ya matusi nahisi alikuwa ana pepo mchafu,nilitaka kumfunga ili akome ukenge wake, basi namchukia kuliko ibilisi ninavomchukia naona hakuwa mwanaume kamili
Bora umekuja, nimetafuta sana comments yako holaaaa
 
Huu uzi umenichekesha na kunishangaza sana.

Inamaana kwenye mahusiano wenye kauli za maudhi ni wanawake tu? Coz naona humu wanawake siwasikii wakitoa kauli za wanaume zinazokera

Sista Heaven Sent hebu ninong'oneze basi
Wanaume mnapenda kulalamika sana, sisi wanawake vitu vingi huwa tunapuuzia Ila na nyie mna kero sema wanawake tunasahau haraka
 
Mkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 nakuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikumbwa, kuna jama moja tunafamiana Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"

Jama amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote
Huyo alijiropokea tu Ila ana mpenda mkewe, wanawake wengi wakivurugwa hujiropokea lolote na kusahau nyie ndo mna Baki nayo moyoni
 
Daaah kwenye hicho kipengele cha kuhudumia aisee mie watanisamehe tu sinaga hela mamaeee
'' kunihudumia unanihudumia, kunijali unanijali lakini najikuta sikupendi tu ujiongeze na wewe" ...hii kauli sitaisahau niliamua kusepa kimya kimya mwisho akianza kunitafuta nikamwambia na Mimi nimejikuta tu simpendi, Hadi Leo anajifanya rafiki namimi namchora tu.
 
Daaaah 50 mamaeeeee hela nyingi sana hii
Na unakuta hauna hela kweli. Aiseee hii kitu huwa inauma sana. Yaani mtu hajui vyanzo vyako vya mapato vipoje, hajui unaishi vipi mjini, ila anataka akisema naomba 50,000 utoe on the spot, ukiwa hauna basi wewe ni bahili haumpendi yeye.
 
Mimi ni zoba....hunitaki [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe una uzoba gani??
Hivi unawajua mazoba wewe??[emoji1787][emoji1787]
Mwanaume haitakiwi uwe mpole kupita kiasi..upole ukizidi unapoa.
Sasa mwingine kila kitu unachomwambia anakubali, ukimuonea anakubali, Kama kasuku hivi..chaa!
 
Hii ni chuga chalyangu [emoji23][emoji23][emoji23] huku ni ma old sculi tu mama la mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitahidini Basi mpendeze.
Nguo simple tu za mtumba unatoka fresh.. siyo unavaa mashati na masuruali yanapwayaaa.. utadhani mgomba umevalishwa nguo jamani!!

Mimi napenda old school man maana mimi mwenyewe old school siendi na mirindimo ya dunia.. ila Sasa isiwe too much,[emoji21]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitahidini Basi mpendeze.
Nguo simple tu za mtumba unatoka fresh..siyo unavaa mashati na masuruali yanapwayaaa..utadhani mgomba umevalishwa nguo jamani!!

Mimi napenda old school man maana mimi mwenyewe old school siendi na mirindimo ya dunia..ila Sasa isiwe too much,[emoji21]
Heheheh sawa mama la mama tutarekebisha io maniaj ya swagga
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe una uzoba gani??
Hivi unawajua mazoba wewe??[emoji1787][emoji1787]
Mwanaume haitakiwi uwe mpole kupita kiasi..upole ukizidi unapoa.
Sasa mwingine kila kitu unachomwambia anakubali,ukimuonea anakubali,Kama kasuku hivi..chaa!
Hahahah mazoba tuthaminiwe jamani 😂😂😂
 
Mazingira ya kawaida kama familia kuna ugomvi mdogo unaotokea ila unasababisha mwenzako kutoa viliomo mwoyoni mwake alivyo hifadhi kwa mda mlefu na usidharau kauli ya mwanamke wanaimanisha mara nyingi......
Kwahiyo akikuropokea "Lione unakuwa kama toto la kike bana" kwahiyo hapo mjuba anaota papuchi au?
 
Back
Top Bottom