Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #541
Sasa kwanini unataka kulazimisha kwamba wanaume wote watakuwa wanahitaji support kwako? Why are you always trying to justify your laziness kwa kusingizia kwamba mwanaume lazma awe anakutegemea wewe kinamna flani. 😂Ndiyo maana yake! Mimi ikiwa mwanaume anasimamia majukumu yake peke yake bila kutaka mimi nimsaidie na ananihudumia ipasavyo sasa mwanaume kama huyo kwanini nitake kutunishiana naye misuli?
Yeye siku zote ndiyo atakuwa juu na atakaloamua yeye ndilo litakuwa! Mie nitakuwa nampa ushauri tu kama akiuhitaji!