Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Ndiyo maana yake! Mimi ikiwa mwanaume anasimamia majukumu yake peke yake bila kutaka mimi nimsaidie na ananihudumia ipasavyo sasa mwanaume kama huyo kwanini nitake kutunishiana naye misuli?

Yeye siku zote ndiyo atakuwa juu na atakaloamua yeye ndilo litakuwa! Mie nitakuwa nampa ushauri tu kama akiuhitaji!
Sasa kwanini unataka kulazimisha kwamba wanaume wote watakuwa wanahitaji support kwako? Why are you always trying to justify your laziness kwa kusingizia kwamba mwanaume lazma awe anakutegemea wewe kinamna flani. 😂
 
Mimi naishi kwangu na hata nikienda kwetu Hali hyo hyo,sipendi kufanya vtu nisivo jiskia kabisa.
Thy peace always be upon you!
Kuna mdada mmoja rafiki wa mke wangu, she is 37 but still looks hot! Anafanya ofisi ya raisi ana hela ila analalamika hapati mtu wa kudumu nae. Ku digg deep down alikuwa anafall kwenye character kama zenu hizo. Siku moja tumetoka out pamoja for dinner tuko mezani i couldn't believe what she said to my wife. Ililetwa chai ikawa haina sukari ya kutosha kwenye kuongeza wife akantilia sukari na kunikorogea. Alishangaa how my love could do that to me. Yeye akadai hayo ndio mambo hawezi yani😂😂😂 anashangaa mwenzie anawezaje?
 
Mwanamke ukimpenda hayo mambo hayaoni mzigo wala manyanyaso. Sasa mwanamke hutaki kupika, kufua, kuosha vyombo kulea watoto eti unalalamika ni manyanyaso. Kama kuna mwanamke alilalamikia hilo kama manyanyaso ilihali anaoneshwa upendo kama kawaida na mume atakuwa ni mental case. Sasa usipopikia mume na watoto nani afanye hio kazi [emoji23][emoji23][emoji23] Baba alete chakula ndani halafu aingie tena kuwapikia
Unajua nimegundua kitu kimoja! Wewe unalazimisha mawazo yako mwenyewe ndiyo yawe ya kwangu hebu tuelewane kitu kimoja!

Kama baba ndiyo unaleta chakula nyumbani mimi hayo majukumu ya kupika sijui kufua wewe hayakuhusu niachie mwenyewe! Yaani mimi nitakufanyia kila kitu na kukuheshimu nitakuheshimu kama kawaida!

Ila ninachosema hapa ni kwamba wewe na huyo mwenzako mnaosema eti mwanamke akiwa mama wa nyumbani utakuwa unampelekesha kama punda eti kisa unamhudumia huo ndiyo upumbavu wenyewe! Muache afanye majukumu yake bila kumpelekesha wala kumfokeafokea bali uendelee kumhudumia na kumuonesha upendo!

Maana wewe hilo ni jukumu lako usione kama unamfanyia hisani! Timiza majukumu yako kama ambavyo yeye anatimiza ya kwake simple as that ya nini mpelekeshane!
 
Huyu binti anashangaza sana ujue. Ni sawa na sie tugomee kwenda kazini au vibaruani tuanze kugombana na wanawake kwamba kwenda kazini ni unyanyasaji ilihali bills zote tutatakiwa tufanye clearance sisi. Hii inaingia akilini kweli?
You dont have to judge her. Hatujui amepitia nini na imemuathiri kiasi gani. Trust me. Naamini watu wakiandika hapa utakimbia. Muelewe tu na usiumie. Binafsi huoni wanawake wakiandika si kwamba hawaumizwi hapana. Basi tu. Huwa tuna vifua na tunahadithiana wenyewe na kurelease. Nyie hamna vifua. Musihukumu maana hamko kwenye viatu vyake.
 
Mwanamke anayefanya hayo makusudi kama unavyojinadi ndio wa kupelekwa mputa mputa maana analeta majaribu katika mamlaka iliomuweka ndani.
Siyo majaribu mnakubaliana tu! Nani atafute pesa nani afanye kazi za ndani mbona kuna ndoa nyingine mwanamke ndiyo anatafuta pesa na mwanaume ndiyo anafanya kazi za ndani na maisha yanaenda fresh tu!

Na mwanamke anamheshimu mumewe kama kawaida hakuna nyodo wala nini! Mie ndoa ya hivyo siiwezi ila kama watu wamekubaliana wenyewe let them be mwisho wa siku kusiwe tu na dharau kwa mume ndani ya nyumba!
 
You dont have to judge her. Hatujui amepitia nini na imemuathiri kiasi gani. Trust me. Naamini watu wakiandika hapa utakimbia. Muelewe tu na usiumie. Binafsi huoni wanawake wakiandika si kwamba hawaumizwi hapana. Basi tu. Huwa tuna vifua na tunahadithiana wenyewe na kurelease. Nyie hamna vifua. Musihukumu maana hamko kwenye viatu vyake.
Pendo nimekuelewa Sana vip game ya simba na yanga tuchekie wapi ninunue kinywaji chochote ukipendacho

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni pacha angu kabisa
Hawa wanadanganywa na wanawake wa humu mitandaoni wanaojifanya submissive kwa waume zao kumbe hawa lengo lao wanalijua wenyewe! Sie tunaowaambia ukweli wa mambo ndiyo tunaonekana tumepotoka they should know things are different out there!
 
Wanaume humu wanaamini kumtesa mwanamke ndio uanaume huo, na Kuna wanawake wanashoboka humu ili waonekane wazuri na wife material kuwafurausha wanaume badala wajiamini jinsi walivo walikuja duniani kufanya yao, Sasa wao unafiki mwanzo mwisho. Mimi hata mchungaji wangu nishamchsna Sana kuhusu Mambo za uonevu onevu.
 
Things are different to you girls😝 wanawake wanaojitambua wapo and we still ballin with them
 
Wanaume humu wanaamini kumtesa mwanamke ndio uanaume huo, na Kuna wanawake wanashoboka humu ili waonekane wazuri na wife material kuwafurausha wanaume badala wajiamini jinsi walivo walikuja duniani kufanya yao, Sasa wao unafiki mwanzo mwisho. Mimi hata mchungaji wangu nishamchsna Sana kuhusu Mambo za uonevu onevu.
Jaman waacheni wanawake wanaojielewa msianze kurusha vijembe apa ...nyie mlisha shindikana hii haina kupinga

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mwa
Wanaume humu wanaamini kumtesa mwanamke ndio uanaume huo, na Kuna wanawake wanashoboka humu ili waonekane wazuri na wife material kuwafurausha wanaume badala wajiamini jinsi walivo walikuja duniani kufanya yao, Sasa wao unafiki mwanzo mwisho. Mimi hata mchungaji wangu nishamchsna Sana kuhusu Mambo za uonevu onevu.
Wanawake wa humu mnaamini kuwekwa katika nafasi zenu ni kuteswa.Hii race haina ukomo wa Laps😂😂😂!
Utazaa mtoto siku moja utalea tutaona kama siku utayochoka utamlaza njaa au akijinyea hutamu wipe na kumbadili pampers!
 
Hawa wanadanganywa na wanawake wa humu mitandaoni wanaojifanya submissive kwa waume zao kumbe hawa lengo lao wanalijua wenyewe! Sie tunaowaambia ukweli wa mambo ndiyo tunaonekana tumepotoka they should know things are different out there!
Mwanamke akinidanganya anajidanganya mwenyewe sababu mie sina cha kupoteza as a man!
 
Back
Top Bottom