Sasa mbona mnalalamika? I expected mngeridhika na hao mliowapata na mngekuwa mnawaoa na kutulia ila badala yake these social media are full of men's complains about their marriages even more than women's!Things are different to you girls[emoji13] wanawake wanaojitambua wapo and we still ballin with them
Usifananishe watoto na vitu vya ajabu! Tatizo wanaume mnajichukulia kama watoto!Mwa
Wanawake wa humu mnaamini kuwekwa katika nafasi zenu ni kuteswa.Hii race haina ukomo wa Laps[emoji23][emoji23][emoji23]!
Utazaa mtoto siku moja utalea tutaona kama siku utayochoka utamlaza njaa au akijinyea hutamu wipe na kumbadili pampers!
And what makes you think kwenye dunia ya sasa kuna jinsia ambayo ina cha kupoteza? Hayo ya kusema eti wanawake ndiyo tunapoteza yamebaki kuwa ya mitandaoni tu!Mwanamke akinidanganya anajidanganya mwenyewe sababu mie sina cha kupoteza as a man!
Mie um doing it for fun ujue😂 shida ni kama utakua umeumizwa sana before na haya mambo which i believe it might have happened to you. Uko so angry and bitter.Sasa mbona mnalalamika? I expected mngeridhika na hao mliowapata na mngekuwa mnawaoa na kutulia ila badala yake these social media are full of men's complains about their marriages even more than women's!
Pole sana sasa kwahio nawewe umeamua kuwa kahaba or sumn? Stop being bitter fanya self improvement hata kama mtu alikutumia usichukie watu wote.And what makes you think kwenye dunia ya sasa kuna jinsia ambayo ina cha kupoteza? Hayo ya kusema eti wanawake ndiyo tunapoteza yamebaki kuwa ya mitandaoni tu!
Huko nje uhalisia ni tofauti kuna wanawake wako kwenye early 30s ni makahaba wastaafu ila wanaolewa ilihali vibinti vinavyojitunza in their mid 20s haviolewi mnasingizia eti havijielewi na visumbufu kwenye mahusiano! Wanaume wengi hamjui mnachotaka!
Sasa si nimetolea mfano tu sababu maybe its the most appropriate form ya kukufanya uelewe ambalo hutaki kulielewa. Kids are innocent ila baba anae provide kwa ajili yako na watoto sio innocent? Ni mmbaya 😂😂😂Usifananishe watoto na vitu vya ajabu! Tatizo wanaume mnajichukulia kama watoto!
Kids are innocent and they are doing that out of their control! Sasa unawafananishaje na ninyi wanaume wazima ambao mnajua mnachokifanya na mnawakosea wake zenu kwa makusudi kabisa mkitegemea wavumilie kwa kisingizio eti waliumbwa na uvumilivu!
Mimi na wewe tunaweza tukasema hivyo ila kuna watu wana ndoa za hivyo na zinadumu! Hivi inakuwaje mtu mzima kama wewe hauna exposure kwenye haya mambo ya ndoa and yet unavyoongea humu utadhani wewe ni pro kwenye mambo ya ndoa kumbe hamna kitu!Hio ndoa haina tofauti na ndoa ya mkataba.
Because that sounds ridiculous to me! Kiasi kwamba siwezi hata liongelea mbele za watu wenye akili timamu. Naona aibu!Mimi na wewe tunaweza tukasema hivyo ila kuna watu wana ndoa za hivyo na zinadumu! Hivi inakuwaje mtu mzima kama wewe hauna exposure kwenye haya mambo ya ndoa and yet unavyoongea humu utadhani wewe ni pro kwenye mambo ya ndoa kumbe hamna kitu!
Maana inaonekana mambo mengi unakuwa hauyajui ni hadi mimi nikusimulie humu ndiyo uyajue! Mkiambiwa mkuwe myaone siyo maghorofa wala mandinga mazuri bali ni haya mambo tunayoyaongelea humu au labda ni mimi ndiyo nafuatilia sana ndoa za watu!
Fanya mpango nikutumie voice note mkuuKama sijakuelewa....
Tehe tehe mzee baba hiyo haina masuala ya reasoning tena hapo mie naongelea uhalisia uliopo kwenye jamii! Kuna wanaume wenzio kama wewe wanaojifanya madikteta na wana misimamo mikali kama Adolf Hitler ila wanabambikiwa watoto kila siku na DNA walipima wakaambiwa watoto ni wao!
Mkuu hayo niliyoyaelezea ni machache sana mbona.Hapo nimejitahidi kufupisha kuwapa nafasi na wenzangu.Sema swala la utakatifu bado sana make hata mi nina weakness zangu kama mwanadamuUna moyo..huenda wewe ni mmoja wa watakatifu mtakaoiona pepo mkuu.
Unaona sasa akili zako zilipoishia kuwaza! Yaani mnawaza kupigwa limbwata tu!Walipigwa juju + limbwata..??
Hiki ndo unachojarbu kusema
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hawa wanaojifanya kufuraisha wanaume huishiwa kuuliwa kabisa au kuwa walemavu wakudumuTuendelee kusimamia mitazamo yetu my dear! Waache waendelee kudanganyika na hizi "mumbo jumbo" za mitandaoni!
I wonder why you think kuna shida nimezipitia ndiyo maana niko na mitazamo ya namna hii! Mimi ni mtu wa kujifunza kupitia mahusiano na ndoa za watu huwa sisubiri hadi yanikute ndiyo nianze kuwa na misimamo ya aina hii!My dear.. for whatever u have gone through naomba Mwenyezi Mungu akakupe amani ya moyo wako. We are raised differently. Tuko watu tusiopenda mashindano kivyovyote. Na pia tuna maisha nje ya mitandaoni. Tunajifunza. I have gone through some bad shit sana tu. I cried and cried. At the end i learnt my lesson. Huwa naamini watu wazuri wapo na wanaexist same ways kwa wabaya. It takes time to heal. There were times i thought i am dying ila nop. Those changamoto made me even better. With time u shall smile again.
Siyo kushindana na mwanaume! Hadi mwanamke anafanya hayo jiulize wewe mwanaume umefeli wapi hakuna mwanamke anayeweza kuwa kiburi kwa mwanaume bila sababu za msingi ila mtabisha hilo!Hehehe ujinga tu sasa ukishindana na mwanaume ndio unajiona mwamba au.[emoji23]
Sasa hapo ambacho tunabishania ni kipi haswa? Nimeshasema mwanaume atakayenitegemea kiuchumi simtaki!Sasa ndio nasemaje, usitake kuficha uvivu kwa kuleta hoja kwa ku assume kila mwanamume kwamba lazma akutegemee wewe in a way or another ili um bully!
Ndiyo hivyo! Ila ukweli siku zote utabaki pale pale haijalishi utakubalika au utakatalika!Hilo ndilo la msingi, itikadi zetu tofauti kwahio tubakie kila mtu na analoamini [emoji13]
Hapana kwa kweli hauwezi kuwa unafanya haya for fun! Ni kwamba hao wanawake mnaowataka hawapo ndiyo maana mnaumia!Mie um doing it for fun ujue[emoji23] shida ni kama utakua umeumizwa sana before na haya mambo which i believe it might have happened to you. Uko so angry and bitter.
Niwe kahaba for who and for what? I love me so much and I am way better than kuwa kahaba!Pole sana sasa kwahio nawewe umeamua kuwa kahaba or sumn? Stop being bitter fanya self improvement hata kama mtu alikutumia usichukie watu wote.
Mwanamke ni mwanamke tu hata ukibandika ndevu. It stems from your DNA
Mbona mnaona kama kuprovide kwa ajili ya wake zenu na watoto ni kuwafanyia hisani jamani? Kwani hilo si ni jukumu lenu msipofanya ninyi mnataka afanye nani sasa?Sasa si nimetolea mfano tu sababu maybe its the most appropriate form ya kukufanya uelewe ambalo hutaki kulielewa. Kids are innocent ila baba anae provide kwa ajili yako na watoto sio innocent? Ni mmbaya [emoji23][emoji23][emoji23]