Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Things are different to you girls[emoji13] wanawake wanaojitambua wapo and we still ballin with them
Sasa mbona mnalalamika? I expected mngeridhika na hao mliowapata na mngekuwa mnawaoa na kutulia ila badala yake these social media are full of men's complains about their marriages even more than women's!
 
Mwa
Wanawake wa humu mnaamini kuwekwa katika nafasi zenu ni kuteswa.Hii race haina ukomo wa Laps[emoji23][emoji23][emoji23]!
Utazaa mtoto siku moja utalea tutaona kama siku utayochoka utamlaza njaa au akijinyea hutamu wipe na kumbadili pampers!
Usifananishe watoto na vitu vya ajabu! Tatizo wanaume mnajichukulia kama watoto!

Kids are innocent and they are doing that out of their control! Sasa unawafananishaje na ninyi wanaume wazima ambao mnajua mnachokifanya na mnawakosea wake zenu kwa makusudi kabisa mkitegemea wavumilie kwa kisingizio eti waliumbwa na uvumilivu!
 
Mwanamke akinidanganya anajidanganya mwenyewe sababu mie sina cha kupoteza as a man!
And what makes you think kwenye dunia ya sasa kuna jinsia ambayo ina cha kupoteza? Hayo ya kusema eti wanawake ndiyo tunapoteza yamebaki kuwa ya mitandaoni tu!

Huko nje uhalisia ni tofauti kuna wanawake wako kwenye early 30s ni makahaba wastaafu ila wanaolewa ilihali vibinti vinavyojitunza in their mid 20s haviolewi mnasingizia eti havijielewi na visumbufu kwenye mahusiano! Wanaume wengi hamjui mnachotaka!
 
Sasa mbona mnalalamika? I expected mngeridhika na hao mliowapata na mngekuwa mnawaoa na kutulia ila badala yake these social media are full of men's complains about their marriages even more than women's!
Mie um doing it for fun ujue😂 shida ni kama utakua umeumizwa sana before na haya mambo which i believe it might have happened to you. Uko so angry and bitter.
 
And what makes you think kwenye dunia ya sasa kuna jinsia ambayo ina cha kupoteza? Hayo ya kusema eti wanawake ndiyo tunapoteza yamebaki kuwa ya mitandaoni tu!

Huko nje uhalisia ni tofauti kuna wanawake wako kwenye early 30s ni makahaba wastaafu ila wanaolewa ilihali vibinti vinavyojitunza in their mid 20s haviolewi mnasingizia eti havijielewi na visumbufu kwenye mahusiano! Wanaume wengi hamjui mnachotaka!
Pole sana sasa kwahio nawewe umeamua kuwa kahaba or sumn? Stop being bitter fanya self improvement hata kama mtu alikutumia usichukie watu wote.
Mwanamke ni mwanamke tu hata ukibandika ndevu. It stems from your DNA
 
Usifananishe watoto na vitu vya ajabu! Tatizo wanaume mnajichukulia kama watoto!

Kids are innocent and they are doing that out of their control! Sasa unawafananishaje na ninyi wanaume wazima ambao mnajua mnachokifanya na mnawakosea wake zenu kwa makusudi kabisa mkitegemea wavumilie kwa kisingizio eti waliumbwa na uvumilivu!
Sasa si nimetolea mfano tu sababu maybe its the most appropriate form ya kukufanya uelewe ambalo hutaki kulielewa. Kids are innocent ila baba anae provide kwa ajili yako na watoto sio innocent? Ni mmbaya 😂😂😂
 
Hio ndoa haina tofauti na ndoa ya mkataba.
Mimi na wewe tunaweza tukasema hivyo ila kuna watu wana ndoa za hivyo na zinadumu! Hivi inakuwaje mtu mzima kama wewe hauna exposure kwenye haya mambo ya ndoa and yet unavyoongea humu utadhani wewe ni pro kwenye mambo ya ndoa kumbe hamna kitu!

Maana inaonekana mambo mengi unakuwa hauyajui ni hadi mimi nikusimulie humu ndiyo uyajue! Mkiambiwa mkuwe myaone siyo maghorofa wala mandinga mazuri bali ni haya mambo tunayoyaongelea humu au labda ni mimi ndiyo nafuatilia sana ndoa za watu!
 
Because that sounds ridiculous to me! Kiasi kwamba siwezi hata liongelea mbele za watu wenye akili timamu. Naona aibu!
Halafu mamii kukaa kimya haimaanishi hujui ila ni aina flani ya busara tum
 
Una mawazo finyu Reasoning yako ni poor

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tehe tehe mzee baba hiyo haina masuala ya reasoning tena hapo mie naongelea uhalisia uliopo kwenye jamii! Kuna wanaume wenzio kama wewe wanaojifanya madikteta na wana misimamo mikali kama Adolf Hitler ila wanabambikiwa watoto kila siku na DNA walipima wakaambiwa watoto ni wao!

Muumba siyo mjinga aliposema muishi na wanawake kwa akili sasa ninyi badala ya kutumia akili mnalazimisha kutumia nguvu! Hizo nguvu zitumieni kwenye mambo mengine siyo kwenye kuishi na mwanamke mtaumia wenyewe ndiyo maana mnaambiwa hamuwezi kushindana na mlipotoka na mkashinda!
 
Walipigwa juju + limbwata..??
Hiki ndo unachojarbu kusema

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Unaona sasa akili zako zilipoishia kuwaza! Yaani mnawaza kupigwa limbwata tu!

Mkuu some women are way better than that hao wanawake wanaotumia limbwata ni wale waliozoea kuroga! Kuna wanawake wanajua kucheza na akili za wanaume wao bwana!
 
My dear.. for whatever u have gone through naomba Mwenyezi Mungu akakupe amani ya moyo wako. We are raised differently. Tuko watu tusiopenda mashindano kivyovyote. Na pia tuna maisha nje ya mitandaoni. Tunajifunza. I have gone through some bad shit sana tu. I cried and cried. At the end i learnt my lesson. Huwa naamini watu wazuri wapo na wanaexist same ways kwa wabaya. It takes time to heal. There were times i thought i am dying ila nop. Those changamoto made me even better. With time u shall smile again.
I wonder why you think kuna shida nimezipitia ndiyo maana niko na mitazamo ya namna hii! Mimi ni mtu wa kujifunza kupitia mahusiano na ndoa za watu huwa sisubiri hadi yanikute ndiyo nianze kuwa na misimamo ya aina hii!

Hata mimi naamini watu wazuri bado wapo tena wengi tu ila si unajua kuwa kila binadamu ana upande wake mbaya ambao hamna binadamu mwingine atataka aujue/auone! So mnapowaambia hawa wanaume kuwa wanawake wako submissive msisahau kuwaambia pia kuwa wasiwa provoke hao wanawake hadi kufikia kuuonesha upande wao wa pili!

I am speaking this kutokana na mambo ninayoyashuhudia kwenye ndoa za watu! Kuna watu humu JF walikuwa wana imani kama yako kuhusu mimi ila walipokuja kunifahamu wakajua kumbe ninayoyaongea hayahusiani kabisa na mimi na sasa wananielewa kwanini huwa nasema haya so wewe wala sikulaumu!

Ifike mahali tuwaambie tu ukweli tuache kuwapa moyo! Otherwise tuendelee kuwadanganya kuwa mwanamke unaweza ukamnyanyasa miaka na miaka na asifanye kitu!
 
Hehehe ujinga tu sasa ukishindana na mwanaume ndio unajiona mwamba au.[emoji23]
Siyo kushindana na mwanaume! Hadi mwanamke anafanya hayo jiulize wewe mwanaume umefeli wapi hakuna mwanamke anayeweza kuwa kiburi kwa mwanaume bila sababu za msingi ila mtabisha hilo!
 
Sasa ndio nasemaje, usitake kuficha uvivu kwa kuleta hoja kwa ku assume kila mwanamume kwamba lazma akutegemee wewe in a way or another ili um bully!
Sasa hapo ambacho tunabishania ni kipi haswa? Nimeshasema mwanaume atakayenitegemea kiuchumi simtaki!
 
Hilo ndilo la msingi, itikadi zetu tofauti kwahio tubakie kila mtu na analoamini [emoji13]
Ndiyo hivyo! Ila ukweli siku zote utabaki pale pale haijalishi utakubalika au utakatalika!
 
Mie um doing it for fun ujue[emoji23] shida ni kama utakua umeumizwa sana before na haya mambo which i believe it might have happened to you. Uko so angry and bitter.
Hapana kwa kweli hauwezi kuwa unafanya haya for fun! Ni kwamba hao wanawake mnaowataka hawapo ndiyo maana mnaumia!

Mimi ninayoyaongea humu hakuna lililonitokea hata moja! Halafu kwa taarifa yako sasa mimi sijuagi kumuomba hela mwanaume yaani wazazi wangu tu huwa naona shida kuwaomba sembuse mwanaume mie huwa naona fahari sana ku pay my own bills na hata nikitoka na company yangu huwa naona fahari kuwapa offer ya wanachokula/kunywa!

Ndiyo maana huwa namshangaa mwanaume anayeona shida kulipa bills zake na za mwanamke wake eti anataka mwanamke amsaidie kulipa! Mwanaume wa hivi mie namuona ni muoga wa maisha tu!

Yaani mimi mwanamke tu napenda kula kwa jasho langu! Sasa sijui inakuwaje mwanaume anaogopa kula kwa jasho lake anataka mpaka eti mwanamke arekebishe mambo duuh!
 
Pole sana sasa kwahio nawewe umeamua kuwa kahaba or sumn? Stop being bitter fanya self improvement hata kama mtu alikutumia usichukie watu wote.
Mwanamke ni mwanamke tu hata ukibandika ndevu. It stems from your DNA
Niwe kahaba for who and for what? I love me so much and I am way better than kuwa kahaba!

Mnasema mwanamke ni mwanamke tu mbona wakitumia viungo vyao vya siri kwa kadri wanavyojisikia huwa mnaumia ninyi? Nilitegemea wataumia wao kwanza right?
 
Sasa si nimetolea mfano tu sababu maybe its the most appropriate form ya kukufanya uelewe ambalo hutaki kulielewa. Kids are innocent ila baba anae provide kwa ajili yako na watoto sio innocent? Ni mmbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mnaona kama kuprovide kwa ajili ya wake zenu na watoto ni kuwafanyia hisani jamani? Kwani hilo si ni jukumu lenu msipofanya ninyi mnataka afanye nani sasa?

Wewe kuprovide kwa ajili ya familia usitegemee eti ndiyo ticket ya kuwa lilevi na limalaya la kupindukia yaani hiyo siyo sababu ya wewe kufanya makosa! Ukifanya makosa lazima utakosolewa vizuri tu sababu wewe ni mtu mzima unayejua mema na mbaya!
 
Back
Top Bottom