ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
This is absolute sio suala la kudiscuss - kumfungulia biashara haimaanishi kumpa total unchecked control. Usimamizi ni zaidi ya ripoti za kifedha. Employees, suppliers na customer relations zote lazima kuangalia ana zi handle vipi.yes Ila pia iwe na usimamizi maybe unahitaji report kila week or monthly
manake wanawake saa nyingine tuna ujinga mwingi hasara provider akiwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee,
Mi huwa nawaacha muongee mkichoka mtakaa kimya, ila kosa ukinigusa.... huwa ni kofi moja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea hivi hata nguvu sina.
Wanaume mnakuwa mabondia!Cha!!
Ndiyo maana sisi Mungu alitupa mdomo ili utuokoe...bila hivyo sijui ingekuwaje[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi huwa nawaacha muongee mkichoka mtakaa kimya, ila kosa ukinigusa.... huwa ni kofi moja tu
una maelezo mazuri,tatizo lako unadhani ukiandika tu kiswahili utaonekana mshamba,kitu ambacho sio kweli,sikia haujui kiingereza kama huyo kaka yako muanzisha mada,andikeni tu kiswahili mtaeleweka,mnatutia aibu,hili forum inasomwa na watu wengi ulimwenguni..jf imekuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heh... mimi nashukuru Mungu hatukuwa kusturve lakini tumelelewa maisha ya kiuafrica. Kila kazi tunafanya. Jumlisha na kusoma kwa masista tena boarding toka primary kila kazi unafanya aisee. Tena kwa mapenzi yote. Tatizo kuna utakaokua unawafanyia yote hayo na wasiappreciate hata kitu. Maybe amewahi kuwa na mtu akamtenda wakati she gave her all. Lakini pia waweza mfanyisha yote hayo ila ukaja ishia oa slay queen. Namwelewa to some extent. Tatizo linakuja nyie wanaume ndo mnajua mnaomuoa nani. Hapo tu
Hahahah tatizo sie tusio na shida sindio mnatuita mazoba...Ila mngejua mazoba ni mapenzi ndo yakikolea wanakuwa hivyo msingeleta nyodo. Mkihamia kwa ma bandidu mnaishia kulia lia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwanaume siwezi kujaribu kumgusa na Wala sijawahi kuropoka "eti nipige"
Huwa naongea mwanaume akianza kusumbua,nyie wanaume ni wasumbufu Sana...huwa mnafanya mambo,Tena unakuta mpo huku mnasifiana ujinga
Unakuta mtu umepata mwanamke hana tatizo lolote ila vitendo vyenu Sasa
Chiiii..zuz is lord😂una maelezo mazuri,tatizo lako unadhani ukiandika tu kiswahili utaonekana mshamba,kitu ambacho sio kweli,sikia haujui kiingereza kama huyo kaka yako muanzisha mada,andikeni tu kiswahili mtaeleweka,mnatutia aibu,hili forum inasomwa na watu wengi ulimwenguni..jf imekuwaje?
Hahahahah kwahio mnajivunia mdomo sio 😂 ila mnatukomeshaga na vineno vinavyokera kera ukiwa na roho nyepesi unaweza ukanywa sumu ukafa ungali kijana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea hivi hata nguvu sina.
Wanaume mnakuwa mabondia!Cha!!
Ndiyo maana sisi Mungu alitupa mdomo ili utuokoe...bila hivyo sijui ingekuwaje[emoji848]
Ndio maan nikasema usiombe yakukute. Huo ujasiri wa kujibizana sidhani kama utakuwa nao.Wote kuanzia mama mkwe, mawifi watakula kichambo akifuatiwa na huyo mwanaume suruali mpaka wanikome wakafie mbele huko wao si Wana uzazi wazae mfyuuu
Sasa mwanaume unazubaa mno Wewe kila kitu ni kuonewa tu,kila mtu anakuonea..huo ni uzobaHahahah tatizo sie tusio na shida sindio mnatuita mazoba
Ila mkihamia kwa mabandidu wakiwapeleka mputa na makofi juu mnakuja kulia lia tena kuwa mnasumbuliwa 😂😂😂 kwa kweli system ambayo mungu aliwaumbia itakuwa na code ngumu sana kuliko za Android au iOS!Sasa mwanaume unazubaa mno Wewe kila kitu ni kuonewa tu,kila mtu anakuonea..huo ni uzoba
Imagine na asubuhi alikula kiporo cha chips tena bila hata kuzipasha[emoji2961][emoji2961] nilijuta hata kumtongoza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyieereee
Pole ndugu. Muwe munasimulia tucheke jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah kwahio mnajivunia mdomo sio [emoji23] ila mnatukomeshaga na vineno vinavyokera kera ukiwa na roho nyepesi unaweza ukanywa sumu ukafa ungali kijana.
Hatutaki vipigo.Ila mkihamia kwa mabandidu wakiwapeleka mputa na makofi juu mnakuja kulia lia tena kuwa mnasumbuliwa [emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli system ambayo mungu aliwaumbia itakuwa na code ngumu sana kuliko za Android au iOS!
Hahah hatuwanyanyasi bana ila mkielekezwa tabia njema mnahisi mnanyanyaswa. Mtu kukuelekeza tabia njema sio lazma ule kichapo. Kichapo wanapewa wale much know wasiojua waongee lipi kwa wakati upi. Wanafyatuka kama chemba za vyoo vya uswahilini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Muache kutunyanyasa..
Mimi naweza nisikutukane ila naweza ongea lazima kuna namna utajisikia vibaya
Hakuna Jambo jipya dunani. Na Hakuna ubaya umewahi kuzoeleka duniani acha kudanganya watu Kama si kuonesha ujinga ulio nao. Ficha ujinga ndugu.Hayo mnayoyafanya ninyi yamezoeleka! Mwanamke anaweza akafanya jambo dunia ikabaki inashangaa ila ya wanaume wala hayashangazi tena sababu tumeyazoea!
Haya vizuri ila maneno yenu huwa yanaudhi mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwanaume siwezi kujaribu kumgusa na Wala sijawahi kuropoka "eti nipige"
Huwa naongea mwanaume akianza kusumbua,nyie wanaume ni wasumbufu Sana...huwa mnafanya mambo,Tena unakuta mpo huku mnasifiana ujinga
Unakuta mtu umepata mwanamke hana tatizo lolote ila vitendo vyenu Sasa
Huyo mwenzetu yeye yupo kivita zaidi na sio kiupendo. Anaamini zaidi katika kushindana na mwanaume kuliko kunogesha upendo...kwamba wanaume ni wabaya tu kwake hamna mwanaume mzuri sielewi kwanini huyu best yangu ni mchungu sana na wanaume.Hakuna Jambo jipya dunani. Na Hakuna ubaya umewahi kuzoeleka duniani acha kudanganya watu Kama si kuonesha ujinga ulio nao. Ficha ujinga ndugu.
Mwanamke na mwanaume kila mmoja aishi kwa kumjali mwenzio. Ukileta Mambo ya kufanyiana ubaya hutakaa ufurahie mahusiano.