Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

yes Ila pia iwe na usimamizi maybe unahitaji report kila week or monthly

manake wanawake saa nyingine tuna ujinga mwingi hasara provider akiwepo
This is absolute sio suala la kudiscuss - kumfungulia biashara haimaanishi kumpa total unchecked control. Usimamizi ni zaidi ya ripoti za kifedha. Employees, suppliers na customer relations zote lazima kuangalia ana zi handle vipi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea hivi hata nguvu sina.

Wanaume mnakuwa mabondia!Cha!!
Ndiyo maana sisi Mungu alitupa mdomo ili utuokoe...bila hivyo sijui ingekuwaje[emoji848]
Mi huwa nawaacha muongee mkichoka mtakaa kimya, ila kosa ukinigusa.... huwa ni kofi moja tu
 
Mi huwa nawaacha muongee mkichoka mtakaa kimya, ila kosa ukinigusa.... huwa ni kofi moja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwanaume siwezi kujaribu kumgusa na Wala sijawahi kuropoka "eti nipige"

Huwa naongea mwanaume akianza kusumbua,nyie wanaume ni wasumbufu Sana...huwa mnafanya mambo,Tena unakuta mpo huku mnasifiana ujinga
Unakuta mtu umepata mwanamke hana tatizo lolote ila vitendo vyenu Sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heh... mimi nashukuru Mungu hatukuwa kusturve lakini tumelelewa maisha ya kiuafrica. Kila kazi tunafanya. Jumlisha na kusoma kwa masista tena boarding toka primary kila kazi unafanya aisee. Tena kwa mapenzi yote. Tatizo kuna utakaokua unawafanyia yote hayo na wasiappreciate hata kitu. Maybe amewahi kuwa na mtu akamtenda wakati she gave her all. Lakini pia waweza mfanyisha yote hayo ila ukaja ishia oa slay queen. Namwelewa to some extent. Tatizo linakuja nyie wanaume ndo mnajua mnaomuoa nani. Hapo tu
una maelezo mazuri,tatizo lako unadhani ukiandika tu kiswahili utaonekana mshamba,kitu ambacho sio kweli,sikia haujui kiingereza kama huyo kaka yako muanzisha mada,andikeni tu kiswahili mtaeleweka,mnatutia aibu,hili forum inasomwa na watu wengi ulimwenguni..jf imekuwaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwanaume siwezi kujaribu kumgusa na Wala sijawahi kuropoka "eti nipige"

Huwa naongea mwanaume akianza kusumbua,nyie wanaume ni wasumbufu Sana...huwa mnafanya mambo,Tena unakuta mpo huku mnasifiana ujinga
Unakuta mtu umepata mwanamke hana tatizo lolote ila vitendo vyenu Sasa
Hahahah tatizo sie tusio na shida sindio mnatuita mazoba...Ila mngejua mazoba ni mapenzi ndo yakikolea wanakuwa hivyo msingeleta nyodo. Mkihamia kwa ma bandidu mnaishia kulia lia tu
 
una maelezo mazuri,tatizo lako unadhani ukiandika tu kiswahili utaonekana mshamba,kitu ambacho sio kweli,sikia haujui kiingereza kama huyo kaka yako muanzisha mada,andikeni tu kiswahili mtaeleweka,mnatutia aibu,hili forum inasomwa na watu wengi ulimwenguni..jf imekuwaje?
Chiiii..zuz is lord😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea hivi hata nguvu sina.

Wanaume mnakuwa mabondia!Cha!!
Ndiyo maana sisi Mungu alitupa mdomo ili utuokoe...bila hivyo sijui ingekuwaje[emoji848]
Hahahahah kwahio mnajivunia mdomo sio 😂 ila mnatukomeshaga na vineno vinavyokera kera ukiwa na roho nyepesi unaweza ukanywa sumu ukafa ungali kijana.
 
Wote kuanzia mama mkwe, mawifi watakula kichambo akifuatiwa na huyo mwanaume suruali mpaka wanikome wakafie mbele huko wao si Wana uzazi wazae mfyuuu
Ndio maan nikasema usiombe yakukute. Huo ujasiri wa kujibizana sidhani kama utakuwa nao.
 
Sasa mwanaume unazubaa mno Wewe kila kitu ni kuonewa tu,kila mtu anakuonea..huo ni uzoba
Ila mkihamia kwa mabandidu wakiwapeleka mputa na makofi juu mnakuja kulia lia tena kuwa mnasumbuliwa 😂😂😂 kwa kweli system ambayo mungu aliwaumbia itakuwa na code ngumu sana kuliko za Android au iOS!
 
Hahahahah kwahio mnajivunia mdomo sio [emoji23] ila mnatukomeshaga na vineno vinavyokera kera ukiwa na roho nyepesi unaweza ukanywa sumu ukafa ungali kijana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Muache kutunyanyasa..
Mimi naweza nisikutukane ila naweza ongea lazima kuna namna utajisikia vibaya
 
Ila mkihamia kwa mabandidu wakiwapeleka mputa na makofi juu mnakuja kulia lia tena kuwa mnasumbuliwa [emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli system ambayo mungu aliwaumbia itakuwa na code ngumu sana kuliko za Android au iOS!
Hatutaki vipigo.
Ndiyo maana nimesema kutokuwa zoba haimaanishi upige
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Muache kutunyanyasa..
Mimi naweza nisikutukane ila naweza ongea lazima kuna namna utajisikia vibaya
Hahah hatuwanyanyasi bana ila mkielekezwa tabia njema mnahisi mnanyanyaswa. Mtu kukuelekeza tabia njema sio lazma ule kichapo. Kichapo wanapewa wale much know wasiojua waongee lipi kwa wakati upi. Wanafyatuka kama chemba za vyoo vya uswahilini.
 
Hayo mnayoyafanya ninyi yamezoeleka! Mwanamke anaweza akafanya jambo dunia ikabaki inashangaa ila ya wanaume wala hayashangazi tena sababu tumeyazoea!
Hakuna Jambo jipya dunani. Na Hakuna ubaya umewahi kuzoeleka duniani acha kudanganya watu Kama si kuonesha ujinga ulio nao. Ficha ujinga ndugu.

Mwanamke na mwanaume kila mmoja aishi kwa kumjali mwenzio. Ukileta Mambo ya kufanyiana ubaya hutakaa ufurahie mahusiano.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwanaume siwezi kujaribu kumgusa na Wala sijawahi kuropoka "eti nipige"

Huwa naongea mwanaume akianza kusumbua,nyie wanaume ni wasumbufu Sana...huwa mnafanya mambo,Tena unakuta mpo huku mnasifiana ujinga
Unakuta mtu umepata mwanamke hana tatizo lolote ila vitendo vyenu Sasa
Haya vizuri ila maneno yenu huwa yanaudhi mno
 
Hakuna Jambo jipya dunani. Na Hakuna ubaya umewahi kuzoeleka duniani acha kudanganya watu Kama si kuonesha ujinga ulio nao. Ficha ujinga ndugu.

Mwanamke na mwanaume kila mmoja aishi kwa kumjali mwenzio. Ukileta Mambo ya kufanyiana ubaya hutakaa ufurahie mahusiano.
Huyo mwenzetu yeye yupo kivita zaidi na sio kiupendo. Anaamini zaidi katika kushindana na mwanaume kuliko kunogesha upendo...kwamba wanaume ni wabaya tu kwake hamna mwanaume mzuri sielewi kwanini huyu best yangu ni mchungu sana na wanaume.
 
Back
Top Bottom