Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Suala sio kuacha kazi ilhali nilipass interview. Fikiria tu tabia za mwanzo. Ikiwemo kula kama paka, mwili unaonekana hivo lakini tabia zake zikanikata stimHapo lazma kutokee mgongano wa mawazo especially for a woman with such curves [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Nimualike mwanangu Behaviourist atalitolea ufafanuzi hili kama je, ilikuwa sawa au sio sahihi kuacha kitumbua kiende zake.
Ushajiuliza kwanini watu wanafikia huko? Its because unakuta mke haambiliki hashauriki yeye ni mashindano tu ila kipindi hana hio kazi alikuwa na adabu njema tu.We waache! Akikuachisha kazi awe na uwezo wa kuwahudumia hadi ndugu zako!
Teh teh! Kumbe mnajua kutumia lugha nzuri eenh!Hakuna Jambo jipya dunani. Na Hakuna ubaya umewahi kuzoeleka duniani acha kudanganya watu Kama si kuonesha ujinga ulio nao. Ficha ujinga ndugu.
Mwanamke na mwanaume kila mmoja aishi kwa kumjali mwenzio. Ukileta Mambo ya kufanyiana ubaya hutakaa ufurahie mahusiano.
Duh kuna sehemu nimesema wanaume wote ni wabaya? Hebu nioneshe ni wapi?Huyo mwenzetu yeye yupo kivita zaidi na sio kiupendo. Anaamini zaidi katika kushindana na mwanaume kuliko kunogesha upendo...kwamba wanaume ni wabaya tu kwake hamna mwanaume mzuri sielewi kwanini huyu best yangu ni mchungu sana na wanaume.
Na kwa taarifa yako hakuna ujinga ninaouchukia kama wa kwenye kitchen party! Na hakuna watu nawachukia kama makungwi!Wengi wa hivyo wameshatendwa wanataka wanawake wema wapitie kwenye blueprints zao walizopita wao.
Kuna wanawake wenye tabia njema na mbaya. Kama yeye Yuko kwenye kundi la wanawake wenye tabia mbaya asitake kulazimisha au kuchafua na wanawake walio kwenye kundi la wanawake wazuri.
Hawa ndio ukiwakuta kweny kitchen Part wanatoa masomo ya kipumbavu kabisa ili wavunje ndoa za watu.
Tatizo hata hao maabusers nao wanajiona wako sawa! Hapo ndipo shida inapoanzia!Shida ya hawa mashindikanaa huwa hawajui kuwa tabia mbovu ndizo humuhukumu mwanamke pasi na yeye kujijua. We ukiona umechezewa jiulize ulikwama wapi its either ulifall kwa abuser ama ulikuwa na odd behaviours.
Ukidate na mwanaume na ukawa mwanamke haswa hata mwanaume anaona aibu kufanya vituko vyake. Atavifanyia kwengine ila si kwako.
Ulevi na Umalaya ni kati ya hizo sifa mbaya ninazoziongelea hapa! Je ni wanaume wangapi hawana hizo sifa?Mwanaume kuwa na sifa mbaya ni labda awe kichaa au mwendawazimu. Ila mpaka anakuaproach na unamkubali sidhani kama anakuwa na tatizo maybe wewe unaemkubalia ndio uwe na matatizo.
Hii type tutajadili kikaoni hahahaaaaBinti mwenyewe ni type hiiView attachment 1621946
Si ndiyo hao mnaowalalamikia humu kila siku kuwa wana dharau? Haya kawaoeni sasa!Wapo hata waliosoma na wana hio adabu tena wenye mavyeo makubwa kabisa ila still wana adabu njema tu. Wewe kama unaona mshahara au kazi ndio kigezo cha kujilinganisha na mwanaume nakupa pole on behalf of your husband to be[emoji23][emoji23][emoji23]
Note:: sura ya babaHii type tutajadili kikaoni hahahaaaa
Ndiyo hivyo sasa! Akiacha kazi uhakikishe unawahudumia watu wote ambao yeye alikuwa anawahudumia wakati ana kazi!Ushajiuliza kwanini watu wanafikia huko? Its because unakuta mke haambiliki hashauriki yeye ni mashindano tu ila kipindi hana hio kazi alikuwa na adabu njema tu.
ππ nakazia Sana hapaWe waache! Akikuachisha kazi awe na uwezo wa kuwahudumia hadi ndugu zako!
Hio ulitakiwa ubokoe tu kisha utoke mbio πππ tabia mbovu ila sio swala, ungempatia sacramenti ya mashineSuala sio kuacha kazi ilhali nilipass interview. Fikiria tu tabia za mwanzo. Ikiwemo kula kama paka, mwili unaonekana hivo lakini tabia zake zikanikata stim
'Kunguru ni kunguru' iwe ya mjini au kijijini haifugiki ......mwana mke wife material elimu yake haiwezi kumzuia kuwa mke mzuri..........Kama shida ni hiyo ninyi wanaume wenye itikadi hizo si muoe wanawake wa vijijini ambao hawajasoma au wameishia primary tu! Tena hao ndiyo wanakuwaga wana hiyo adabu na heshima mnayoitaka!
Hapana kwakwli. Niliwaza mbeleni madhara ambayo ningeyapata. Tabia huchangia kwa kiasi kikubwa sana kuleta vionjoHio ulitakiwa ubokoe tu kisha utoke mbio [emoji23][emoji23][emoji23] tabia mbovu ila sio swala, ungempatia sacramenti ya mashine
PoleSick [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]