[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzio wanaona kama wanakuwa bullied eti. Mi ni yule baba ambaye sipendagi ujinga. Naitwaga dikteta humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Upo naye ili mfanye uzinzi?Sasa yuko nami ili iweje?
Sasa niwe na msichana ili iweje kama sio uzinzi, hata nikiwa na wewe hilo swala ni la muhimu mno, vinginevyo bora nibaki mwenyeweUpo naye ili mfanye uzinzi?
Sikiliza clip hiiView attachment 1622162
Naomba ukisikiliza hiyo clip uje tujadili.Sasa niwe na msichana ili iweje kama sio uzinzi, hata nikiwa na wewe hilo swala ni la muhimu mno, vinginevyo bora nibaki mwenyewe
Left for good. Nilikuwa na nia ya kutoa sana, lakini hii kauli ni kimalaya.Uliamuaje baada ya hapo.
Mheshimiwa, Shahawa siyo mayai bali ni majimaji yanayobeba mbegu za mwanaume.Anayo mayai yanayoitwa shahawa
Maana yake wewe umekuwa unadate na mtu kwa ajili ya ndoa?Naomba ukisikiliza hiyo clip uje tujadili.
Sikiliza halafu uniambie umeelewa nini
Mkuu huyo ana mapepo nimeshakutana na sampuli ya hivi unaweza omba ardhi ipasukeMi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Wewe huwa unadate kupoteza muda?Maana yake wewe umekuwa unadate na mtu kwa ajili ya ndoa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] no pleaseSura exactlyView attachment 1622035
Hata wewe amekushtua eh[emoji1787]Duuh[emoji15][emoji15]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] no please
Yaaan nimechema balaa. Hivi katokea wapi huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaja kuharibu sherehe tu[emoji119][emoji119]Poleni Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi umegeuka comedy yaani nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yaan najaribu kuimagine mpk nimechoka[emoji1787][emoji1787] jamani jamani jamani. Naomba unitunie picha pmUnamaanisha naongopa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni muda umepita na nilishahama alipo.Yaan najaribu kuimagine mpk nimechoka[emoji1787][emoji1787] jamani jamani jamani. Naomba unitunie picha pm
[emoji1787][emoji1787]utamponza wifi yako huku ntampa jambajamba sana
Anataka point za mezani[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakutana nae tu a day with no name[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni muda umepita na nilishahama alipo.
Hata sitaki. Kwakweli nisamehewe tuUtakutana nae tu a day with no name