Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kwa jinsi mnavyosifianaga ujinga humu.
Mlishahalisha uzinzi sijui kimasikhara..halafu eti uje kunielekeza tabia njema!
Utanielekeza Nini sasa?!?

Mimi ni mpole sana tena mno kwa mwanaume anayejiheshimu
Ila wengine wasiojielewa tutapambana nao tu mbele kwa mbele [emoji23]

Mimi najiheshimu ila nakunywa bia, vipi hapo
 
Mkuu Mimi nikichoka au sijiskii kufanya kitu sigusi hata aseme Nani kwa kweli
Inategemea na tabia yako ya kila siku ndio itakudefine wewe na kuchoka kwako.. Lets say you you always play your part very well halafu siku moja tu kwa mahaba na kudeka unamwambia mumeo kua umechoka.. What do you think will happen!? Ndio siku kama hizo unachukuliwa unapelekwa hata outing... ila kama unapendwa.
 
Yaaan nimechema balaa. Hivi katokea wapi huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaja kuharibu sherehe tu[emoji119][emoji119]
Very funny. Kwani huwa kingereza ni big deal hv?

Nakumbuka nilitoka eng medium nikaenda kusoma government o level. Jaman ukiongea english kidogo unatengwa na unasimangwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] walikua wanatusema wa english medium wale wasambaaa poohhh....
Mkuu sasa sisi wasambaa hapo tumetokea wapi!? Mbona unatunyanyasa!?..
 
inategemea na tabia yako ya kila siku ndo itakudefine wewe na kuchoka kwako.. lets say you you always play your part very well halafu siku moja tu kwa mahaba na kudeka unamwambia mumeo kua umechoka.. what do you think will happen!? ndo siku kama hizo unachukuliwa unapelekwa hata outing... ila kama unapendwa.
Ku play part yangu hufanya Ila kuna siku tu nakuwa moodless kabisa staki kufanya Jambo flani so hapo kwa kweli natafuta another option
 
dah? ugomvi sina ishu nikianza kucheza muziki tu teh teh ile kuzungukazunguka na bolingo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha enzi fulani
Shemeji yangu alikuwa akinywa pombe anachangamka hatari, akirudi home anampigisha stories kila mtu. Sasa akikaa sebuleni anaanza kuongea na sister basi mtacheka hadi basi.
 
Back
Top Bottom