Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Ukiwa member mkongwe huku jf attack kama hizo hazikosekanagi. Mtu anaamua akutolee ugumu wa maisha tu ghafla.[emoji23][emoji23][emoji23] Kaona we ndo mnyonge wake labda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ana tabia mbaya kweli. Mchokozii kama nini
 
Haya vizuri ila maneno yenu huwa yanaudhi mno
Ukiwa mwaminifu kwa mkeo hutaona akinyanyua mdomo hovyo.
Shida ni matendo yenu yanafanya hadi wanawake waitumie karama Yao ya uongeaji[emoji23]
 
Hahah hatuwanyanyasi bana ila mkielekezwa tabia njema mnahisi mnanyanyaswa. Mtu kukuelekeza tabia njema sio lazma ule kichapo. Kichapo wanapewa wale much know wasiojua waongee lipi kwa wakati upi. Wanafyatuka kama chemba za vyoo vya uswahilini.
Mwanaume wa kunielekeza tabia njema ni yule anayenipenda kwa dhati na si kinafiki.
Unicheat na nijue unadhani kuna kitu nitakusikiliza?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No jamani. Kuna ile tu mwanaume akiongea basi adabu unaishika. Mafahali wawili hawakai zizi moja. Lazima mmoja ajishushe. Yaan ukiachiwa maagizo unahakikisha umekamilisha maana unajua eh baba akirudi nitashaa. A man should have a voice bwana. Sasa jamani nikapate mume kama pili..pili si nitajikuta na makofi nampiga? Nataka ujinga mimi?[emoji1787][emoji1787] sasa kama sikuheshimu kuna raha gani wewe kuwa mwanaume? Nichangamshe. Nipe presha nilalamike kwenye committee ya mashost zangu jaman Extrovat ananinyanyasa kisa nanpenda... nilie lie. Yaani. Kwanini upooze[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
utamponza wifi yako huku ntampa jambajamba sana
 
Ananitegemea mimi kivipi? Mimi sihitaji mwanaume anayetaka nimpe support mie nahitaji mwanaume atakayesimamia majukumu yake peke yake bila kutarajia nimpige tafu na mimi nitasimia majukumu yangu yote peke yangu sitataka anisaidie!
Word...! Of course ndivyo inavyotakiwa kuwa.. na ndivyo ilivyo...
 
Wewe mtt mzuri mwenye hofu na mungu naanzaje kukuchiti!
Kwa jinsi mnavyosifianaga ujinga humu.
Mlishahalisha uzinzi sijui kimasikhara..halafu eti uje kunielekeza tabia njema!
Utanielekeza Nini sasa?!?

Mimi ni mpole sana tena mno kwa mwanaume anayejiheshimu
Ila wengine wasiojielewa tutapambana nao tu mbele kwa mbele [emoji23]
 
Back
Top Bottom