Naunga mkono hoja, kuna raha aisee when a man has that masculinity na unajua kabisa nikitaka kuongea jambo lazima nipange gears za kumshawishi baba.Sasa ukute the guy ni mpole mpole ukimwambia hiki sawa tu hata hapingi aaargh haileti ladha kabisa, a man lazima awe na sauti bana akuchimbe mkwara kidogo[emoji16][emoji16]
There u are[emoji1787][emoji1787]
Me sipendi niwe chama tawala na yeye tawala. Ni muhimu kiwe na arguement za kueleweka. Mambo ya ndiyo tu mimi hapana. Lazima tuchallengiane bila ugomvi. Nataka hiki kwasababu hii na hii. Sitaki hiki kwasababu hii na ile.
Siyo kila kitu yes.
Sasa.me mPole nutsmuwekea wapi jamanj? I want him to be the commanding. Kama wengine wanapenda church boys ni sawa. Haiwezi apply kwa wengine. Ila tu abusive man siyo. Hao waepuke. Mwanaume awe shababi jamani. Nikikosea aniambie waziwazi na nikiri na kuomba msamaha pia. Akinikosea pia ninweleze kwa upendo na upole.
Haya tunaongea with experience. Si story za vijiweni. Tunajua wapi tulikosea na wapi kwa kurekebisha. Hatujafundishwa kupandiana sauti na mwanaume.
Majukumu yake atafanya. Inapobidi kukaba loaf tutakaba. Kusaidoana muhimu. Sometimes lazima kuokoa jahazi.
Tukisema kila kitu tuwaachie sasa siku Mungu anawachukua ama wanapata kilema cha maisha na hatuwezi kuzalisha tena sindo mwanzo wa aibu. Lets be super women with purpose with big reasoning. Maisha ya kukomoana either kwa mwanaune ama mwanamke si sawa. Hayo si mapenzi.
Pia kumtoa out mara moja moja mume ama mpenzi wako pia si dhambi. Na sinkosa. Siki moja moja unamwambia todah i am going to treat you out. Either for a better bond ama kumpongeza kwa certain archievements. Si kila siku wao tu.
Na siwezi jisikia vibaya mwanaume kunilipia bills. I am a woman
Kwanini nimtunishie msuli?
How will i feel covered ama protected?
Hata niwe na million and he wants to do it sina haja ya kishindana kwamba na mimi nina hela i can take care of myself. Kwani ni mashindano?