Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Duuh wanawake wa kiafrika kazi tunayo maana siyo kwa hii mizigo tuliyopewa! Kwahiyo kwako wewe hayo uliyoyataja ndiyo mapungufu pekee ambayo binadamu anayo!

Wewe unaweza ukaoa mwanamke malaya au kiburi? Na kama mnajua kuwa hakuna binadamu aliyekamilika kwanini ninyi huwa mnataka wanawake wenye sifa zote nzuri?
 
Yaani unataka kusema wanaume wengi ni walevi wa kujikojolea na malaya mbwa kuliko wanywaji na wachepukaji kwa akili?

Ndio maana kuna mtu kasema wengine wana shida zao binafsi[emoji38][emoji38][emoji38]
Umalaya ni umalaya tu haijalishi unafanywa kwa akili au la! Lakini kuna tofauti kubwa kati ya unywaji na ulevi usichanganye mambo!

Hakuna mtu anayependa mwenzi wake awe malaya! Kwa kifupi tu ni kwamba mwanaume asiyetimiza majukumu yake, malaya, mlevi na mnyanyasaji hastahili kupata mke mwema hata kwa bahati mbaya!
 
Nina hakika hufahamu sababu, nia na malengo ya mkutano wa beijing
Hayo ya mkutano wa beijing ni matokeo tu! Lakini chanzo cha wanawake kutaka 50/50 ni hicho hata mkijitetea vipi maana hiyo jinsia yenu tumeshawazoea kwa kujitetea na kujifanya mko innocent kwenye kila kitu!
 

There u are[emoji1787][emoji1787]
Me sipendi niwe chama tawala na yeye tawala. Ni muhimu kiwe na arguement za kueleweka. Mambo ya ndiyo tu mimi hapana. Lazima tuchallengiane bila ugomvi. Nataka hiki kwasababu hii na hii. Sitaki hiki kwasababu hii na ile.
Siyo kila kitu yes.

Sasa.me mPole nutsmuwekea wapi jamanj? I want him to be the commanding. Kama wengine wanapenda church boys ni sawa. Haiwezi apply kwa wengine. Ila tu abusive man siyo. Hao waepuke. Mwanaume awe shababi jamani. Nikikosea aniambie waziwazi na nikiri na kuomba msamaha pia. Akinikosea pia ninweleze kwa upendo na upole.

Haya tunaongea with experience. Si story za vijiweni. Tunajua wapi tulikosea na wapi kwa kurekebisha. Hatujafundishwa kupandiana sauti na mwanaume.

Majukumu yake atafanya. Inapobidi kukaba loaf tutakaba. Kusaidoana muhimu. Sometimes lazima kuokoa jahazi.

Tukisema kila kitu tuwaachie sasa siku Mungu anawachukua ama wanapata kilema cha maisha na hatuwezi kuzalisha tena sindo mwanzo wa aibu. Lets be super women with purpose with big reasoning. Maisha ya kukomoana either kwa mwanaune ama mwanamke si sawa. Hayo si mapenzi.

Pia kumtoa out mara moja moja mume ama mpenzi wako pia si dhambi. Na sinkosa. Siki moja moja unamwambia todah i am going to treat you out. Either for a better bond ama kumpongeza kwa certain archievements. Si kila siku wao tu.
Na siwezi jisikia vibaya mwanaume kunilipia bills. I am a woman
Kwanini nimtunishie msuli?
How will i feel covered ama protected?
Hata niwe na million and he wants to do it sina haja ya kishindana kwamba na mimi nina hela i can take care of myself. Kwani ni mashindano?
 
Niliambiwa sipo romantic, na wakati bado ananipa papuchi yake yaaanii
 
Nilitongoza demu akakubali alaf baada ya kukubali nikamuuliza au unampenzi?

Akanijibu "ndiyo ninae mpenzi ila ni ilimrad tu na mi nionakane na boyfriend lakin usijali shindana nae atakae mshinda mwenzake ndo nitabak nae"

Kauli ilinifanya nimkinai nikamwambia samah endelea nae lakn alining'ang'ania kwakua alikua tayar ameshakubal had leo nipo nae ila naweza nisimtafute hata mwez mzima kwa simu nimemkinai
 
Sipo hapa kumbeza mwanamke, wala sipo hapa kutetea wanaopiga wanawake..kupiga mwanamke haikubaliki. Binafsi nimewahi kumzaba mwanamke baada ya kuvumilia kwa muda mrefu vijineno fulani fulani lakini nikiri haikuwa sahihi ilikuwa bora kumuacha au kumnyoosha kwa namna nyingine,, wala sijasema tunataka wanawake wakamilifu labda wamesema wenzangu nachojua hakuna mkamilifu

Shida ni kwamba inaonekana una yako tu kuhusu wanaume mara useme hutaki kutoa hata sh.mia yako kuchangia majukumu mara ubadilishe sio kuchangia ila kulea mwanaume mara useme wanaume walevi mbwa na malaya ni wengi kuliko wanywaji na wachepukaji wa akili

Hebu simama pahali, unataka mwanaume gani? Au hutaki mwanaume. Period

Maana hakuna atakayekushikia fimbo
 
Hayo ya mkutano wa beijing ni matokeo tu! Lakini chanzo cha wanawake kutaka 50/50 ni hicho hata mkijitetea vipi maana hiyo jinsia yenu tumeshawazoea kwa kujitetea na kujifanya mko innocent kwenye kila kitu!
Hakuna anayejitetea tunafahamishana, tunaweza tusijitetee na hali ikabaki ilivyo asili haipingwi

Tafuta sababu za mkutano wa beijing acha kubumba bumba zako
 
Hawa EVA htr .... Unaweza mnunulia mpa hela,akaenda kununua vocha allaf akikupigia ukawa unaongea slow utasikia unanimalizia vocha yangu.....hela siokoti,piga wewe....(hawaleweki)
 
You said it all mama,some will see this as old school but it's the reality ukiweza kuyaishi hayo maisha ya mahusiano yanakuwa mepesi sana hakuna mikiki mikiki👌👌👌
 
You said it all mama,some will see this as old school but it's the reality ukiweza kuyaishi hayo maisha ya mahusiano yanakuwa mepesi sana hakuna mikiki mikiki[emoji108][emoji108][emoji108]
Yes. Halafu hata mimi napenda mambo ya old school[emoji1787]
I just love being normal. Kuna maisha fulani suyapendi na siyataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…