Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23]

Yamekukuta yepi tena mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanzi kangu kalikuwa hakaishi kukenua kenua mijino yake na washkaji zangu kamekuwa kakifanya visa visivyokuwa na sababu nimekatema kamekimbilia kwa mshikaji wangu.
Ila kuna siku tulikorofishana kaliniambia "kanatamani kangekuwa na daktari ambae ndio huyo mshkaji wangu
 
Mkuu, mimi niliwahi kutamkiwa hiyo ya mwisho, nafikiri inahitaji uvumilivu tu kuishi na wanawake
Kama huna moyo wa Yesu huwezi.
Mtihani Kama umeshazaa nae na ndoa ya Kikristo.Uvumilie sumu za kauli chafu kwa ajili ya watoto na dini au ukimbie sumu kwa kuachana Ili uulinde moyo wako usiathirike? Maradhi ya moyo,Presha, upungufu wa nguvu za kiume, sonona, ulevi, kupalalaizi, nk mengi chanzo kikuu ni sumu ya kauli chafu zitokazo kinywani mwa mwanamke mkorofi asiyefunzwa na kuingia moyoni mwa mume.
Kumbuka mwanaume ni kiumbe kisichopenda vurugu.
 
Umeisha chukie we muhay vip mtu ata akikutania unapanik unafeli wap wew unatakiwa uwe lomatk acha kukasilikakasilika wew
 
Pole sana aiseee jamaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mwanaume wanaojali na wapole wanaonekanaga maboya mbele ya wanawake walu walu for sure
 
Ukatili wa kiwango cha rami [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
"Hivi katika wanaume we naye unajiona ni mwanaume...ehee??"

Hiyo kauli aliambiwa braza mbele yangu na mwanamke ambaye alikuwa anaishi nae kama mke.

Huwa inaniumaga mpaka leo utafikiri niliambiwa mimi, halafu cha kushangaza braza wala hata hakujali.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Moja wapo ya makosa makubwa mwanaume anayoweza kuyafanya ni kumrudia mwanamke uliyoachana nae kwa ajili ya umalaya,ujeuri na kiburi alichonacho.

Kitendo cha wewe kumsamehe kinatoa tafsiri kwamba wewe kwake hufurukuti,hutambui thamani yako Kama mwanaume na huna option nyingine yaani una scarcity mentality.

Na mwanamke akishakuona una hivyo vitu nilivyovitaja hapo juu kamwe hawezi kukuheshimu, ata-pretend kukuheshimu kwa kipind kifupi tu Kisha anarudi kwenye tabia zake za awali zilizokufanya ukaachana nae.

huyo mwanamke wako uliyemuelezea hapa huko alipo sasa hivi akilini mwake anawaza kuna siku atakuja kwako kuomba msamaha kwa Mara nyingine na si ajabu ukamsamehe tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Mmh nilipata mrembo slayi queen nilidhani nimepata mke wa kudumu.....siku moja namkuta chumbani anatafuna mirungi (mira) na bigG nilishia nguvu nilianza kujiiuliza masuali mengi......nimeferi wapi lakini
pole
 
Imagine uambiwe maneno ambayo ni deal breaker ukiwa ndani ya ndoa na sio in dating period!unabaki unamuangalia tu huyo mwenza afu unakosa kujua hata cha kumfanya,hata akiomba msamaha ndo anakua kashautawanya moyo,ndo mana siku hizi ndoa nyingi zipozipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…