Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23]

Yamekukuta yepi tena mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanzi kangu kalikuwa hakaishi kukenua kenua mijino yake na washkaji zangu kamekuwa kakifanya visa visivyokuwa na sababu nimekatema kamekimbilia kwa mshikaji wangu.
Ila kuna siku tulikorofishana kaliniambia "kanatamani kangekuwa na daktari ambae ndio huyo mshkaji wangu
 
Mkuu, mimi niliwahi kutamkiwa hiyo ya mwisho, nafikiri inahitaji uvumilivu tu kuishi na wanawake
Kama huna moyo wa Yesu huwezi.
Mtihani Kama umeshazaa nae na ndoa ya Kikristo.Uvumilie sumu za kauli chafu kwa ajili ya watoto na dini au ukimbie sumu kwa kuachana Ili uulinde moyo wako usiathirike? Maradhi ya moyo,Presha, upungufu wa nguvu za kiume, sonona, ulevi, kupalalaizi, nk mengi chanzo kikuu ni sumu ya kauli chafu zitokazo kinywani mwa mwanamke mkorofi asiyefunzwa na kuingia moyoni mwa mume.
Kumbuka mwanaume ni kiumbe kisichopenda vurugu.
 
Umeisha chukie we muhay vip mtu ata akikutania unapanik unafeli wap wew unatakiwa uwe lomatk acha kukasilikakasilika wew
 
Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Pole sana aiseee jamaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
You seem to be a good boy...tell you what ? Wanawake hawawapendi good boys...mpelekeshe...siku moja usurudi nyumbani...nenda disco lala sehemu nyoa nywele zote mwilini km yule DJ wa gongo la mboto....atanyooka au piga chini leo leo huyo freak atakutesa
Mwanaume wanaojali na wapole wanaonekanaga maboya mbele ya wanawake walu walu for sure
 
Dah unaoataje nafasi ya kurevenge halafu unaitumia vibaya hivyo.....

Huyo unamkubalia anarudi kuwa na wewe, then siku moja unatafuta demu pisi kali mdangaji unamuomba aje maskani saa sita za usiku. Mpange kabisa kuwa upo na mwanamke unataka kumpa shida kidogo.

Avae kikorofi ile ya kutamanisha utamu nje. Then wewe siku hiyo mtengenezee mazingira demu wako mlale mapema sana saa tatu au nne hivi.

Akifika unamfungulia, then unampokea na deep sloppy kiss moja ambalo halikatishwi hata na mlipuko wa bomu. Unafunga mlango wa chumbani ufunguo unatoa katika kitasa. Unapanda na yule demu kitandani mnaaza kupeana kazi nzito wazi wazi bila kuogopa.

Yaani yeye muwe kama hamumuoni. Unapiga mashine ile kiugwadu na huyo demu aonyeshe ushirikiano..... Demu wako akitaka kuleta fujo unamtuliza then unaendelea kutoa mgegedo..... Unamwambia hebu tulia wakati najiongeza na huyu anae nipenda..... Tulia mbwa wewe nakwambia....
Ukatili wa kiwango cha rami [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
"Hivi katika wanaume we naye unajiona ni mwanaume...ehee??"

Hiyo kauli aliambiwa braza mbele yangu na mwanamke ambaye alikuwa anaishi nae kama mke.

Huwa inaniumaga mpaka leo utafikiri niliambiwa mimi, halafu cha kushangaza braza wala hata hakujali.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Moja wapo ya makosa makubwa mwanaume anayoweza kuyafanya ni kumrudia mwanamke uliyoachana nae kwa ajili ya umalaya,ujeuri na kiburi alichonacho.

Kitendo cha wewe kumsamehe kinatoa tafsiri kwamba wewe kwake hufurukuti,hutambui thamani yako Kama mwanaume na huna option nyingine yaani una scarcity mentality.

Na mwanamke akishakuona una hivyo vitu nilivyovitaja hapo juu kamwe hawezi kukuheshimu, ata-pretend kukuheshimu kwa kipind kifupi tu Kisha anarudi kwenye tabia zake za awali zilizokufanya ukaachana nae.

huyo mwanamke wako uliyemuelezea hapa huko alipo sasa hivi akilini mwake anawaza kuna siku atakuja kwako kuomba msamaha kwa Mara nyingine na si ajabu ukamsamehe tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Imagine uambiwe maneno ambayo ni deal breaker ukiwa ndani ya ndoa na sio in dating period!unabaki unamuangalia tu huyo mwenza afu unakosa kujua hata cha kumfanya,hata akiomba msamaha ndo anakua kashautawanya moyo,ndo mana siku hizi ndoa nyingi zipozipo tu
 
Back
Top Bottom