Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Eti kama hawana maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Karma
Kumbe mnasoma na kuyaweka kwenye long term memory, nilichojifunza humu unaweza ukakuta hata watu wa parokiani lazima wapite kwenye uzi huu rikiboy nakulaani kwa nguvu zote
 
"Ulijua mi nataka mapenzi kwako ,Mi mwnamke napenda pesa sizani kama utaniweza wewe pisha wenzio wenye hela Tafuta hela ukizipata utanitafuta".[emoji6][emoji6] Muda huo angali nimemkula sio chini ya mara 70 Tangu kanasoma mpaka amehitimu kidato cha Nne baada kuingia mtaani kufanya kazi saloni ya dada ake akaanza kubadlika.
 
Hahahahahah natamani kujua sahizi kazalishwa watoto wangapi na mabaharia
 
Dhaaa!! Wee mwanaume jiongeze mwenyewe baada ya kuuliza ananipenda kweli.. Boom nikatafakari siku kadhaa nikajua am out of thz picture ni mda wakuje taifa sasa.
MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu aliachwana mtoto wa mwaka mmoja, akamwambia mwanamke ondoka na mtoto akifikisha miaka miwili ntamfuata, demu akasema "nilivyokuja sikuja na mtoto," kmmk... Jamaa kalea, demu kapata bwana mwingine miaka mitatu imepta demu kapigwa chini saivi kamwambia jamaa warudiane lile fala limerud tena kmmk nimekasirika kinoma ila siwez fanya kitu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo ya mwisho ni uhalisia
 
Pole sana mkuu
 
kuna demu wangu alinidharau na vikauli vyao vya kike kwenye kisaluni chake mshenzi mbele ya wateja zake Mimi Ni mpole ila usiombe nikunywee nikaenda zangu kumywea nikakutana na mwanangu huyo Ni kichaaa awe amekunywa hajanywa aisee kitu tuliifanya ile salooon mungu anajua
 
Mimi nilikiwa vibaya kihela kwa siku kadha ikabidi nimwambie ukweli kwamba mama la mama me sahihi siko good. Akajibu sawa mbn kama kula tunakula tu
Hee siku kadhaa mbele naona anaomba vocha kwa mtu akiwa anaongea na simu tena mbele yangu. Kama haitoshi mchana wa siku hiyo hiyo tulitembelewa na rafiki zake. Mbele yangu akaanza kuwaomba hela.

Asiwe nilitumia emotion intelligence ya hali ya juu sikupanic wala nn. Walivyoondoka nikamkalisha chini kuupokea kwamba binafsi me sipendi hicho kitu kinaniumiza na najihisi siheshimiwi anavyofanya hivyo mbele yangu .

Wewe nilipokea jibu hilo . Nikarudi home mkoani ndio ikawa nitolee hadi leo.

Inshallah namshukuru Mungu sahv shida ndogondogo siko nazo .

Nb : dear ladies msije dharau bwana ako mbele ya watu . We have emotion too. Huwezi jua ya kesho yatakuwaje .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…