Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Dah dharau ya kikei kavu kabisa. Inachubua kuta za moyo kwa ukakasi.
 
Hilo fundisho kwake na kwa vizazi vyake
 
Ninadharau, simjali sipo romantic si deserve kuwa nae sasa. Ivi ananisumbua nimpigie pande kazini

Mwingine alitamka "you are not of my type" infront of kadamnasi nikamjibu "sawa" infront of the same kadamnasi anasema "ningepata mwanaume kama ww ningeringa" nikamjibu "am not of your type" akaja analia nikamwambia samaki harudi kinyume nyume

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kuanzia post 500 mpk ya 1000 watu wanabishana tuuh hamn Visa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wanaharibu uzi, wao wanaona ma genius kujenga hoja na kupangua wakat sisi hatupo interested na misimamo binafsi ya kila mtu.
Sisi tunataka kusikia songo mbingo 😄 zilizowahi tokea kwa wenzetu na akafanya nini
 
Hakuna ulichopoteza mkuu ushaichakaza vya kutosha
 
Dah kweli kabisa mwanangu.
 
Wana ujinga ujinga mwingi sana aisee hawa viumbe. Nimesoma hii comment nikakumbuka situation flani nikapata hasira sana. Nimeshavunja glass na sahani hapa. Pumbavu sana.
 
Kazi ulikuwa unafanya saa ngapi au ulikuwa likizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True like amber Heard
 
Shetani ana nguvu sana kwa hawa viumbe. Anawavaa kirahisi sana pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…