Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Aahh mimi kama tunapeana pesa kwa usawa basi hata kazi za ndani tutafanya kwa usawa tu hilo halina ubishi! Hayo yote nitafanya mwenyewe ikiwa pesa yangu ni yangu while pesa yako ni yetu fullstop!Hahahah mi mapema tu huwa nataka ujue kuwa utaishi na mimi kwa amani ukiwa unajua mipaka yako. Kwangu mwanamke anapika, kufua na kuosha vyombo na kulea na wala hamna room ya majadiliano kuhusu hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwenzako huyo kila tukifikia hapo ubishi unaanza. Anataka tupangiane zamu za kudeki
Chanzo cha haya yote ni pale wanaume mlipoanza kutaka wanawake tuwasaidie majukumu yenu kitu ambacho hakipo kwenye tamaduni zetu! Mbaya zaidi mnaipinga 50/50 ila eti majukumu yenu tufanye kwa usawa!