Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Hahahah ondoa shaka, maombi yako yamejibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]! Im good at putting a woman in her place...Proudly a black king!
Haahahaha yah. Mambo ya uzungu mimi sitaki. Diplomasia wabaki nayo akina Obama. I am a typical African. Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama being submisive ni ushamba basi let me be
 
Haahahaha yah. Mambo ya uzungu mimi sitaki. Diplomasia wabaki nayo akina Obama. I am a typical African. Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama being submisive ni ushamba basi let me be
You earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!
 
Tuna ndugu yetu,ni mwalmu Sec. Ameoa mwalimu pia,ila anafundisha Primary.
Huyo dada anaishi nyumba ya kotaz,ikabid amshawishi na jamaa ahamie pale..jamaa kahama aliko panga na kumfuata demu hapo kotaz.

Saiv ndugu yetu anakiona cha moto..! Anapelekwa mpera mpera,.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
You earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!
Ha ha ha ha ha ha....
Weee.... nyie wa huku jf? Sindo kuuana kabisa kwa presha? Matukio yatakua overdosage maana loh....
 
Wenzio wanaona kama wanakuwa bullied eti. Mi ni yule baba ambaye sipendagi ujinga. Naitwaga dikteta humu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua unaweza kuwa na principals na usiwe toxic? Lazima mwanaume awe na principals. Na lazima mujuane mapema. Vitu munavyoportray mwanzoni mwa mahusiano ndo mazoea ya milele hayo. Ukija lalamika inabidi tushangae
 
Hahahah mi mapema tu huwa nataka ujue kuwa utaishi na mimi kwa amani ukiwa unajua mipaka yako. Kwangu mwanamke anapika, kufua na kuosha vyombo na kulea na wala hamna room ya majadiliano kuhusu hayo😂😂😂😂 kuna mwenzako huyo kila tukifikia hapo ubishi unaanza. Anataka tupangiane zamu za kudeki
 
Ha ha ha ha ha ha....
Weee.... nyie wa huku jf? Sindo kuuana kabisa kwa presha? Matukio yatakua overdosage maana loh....
Hahahah ukijifanya kichaa kuna pilipili mbuzi pia. Cha muhimu kujitambua tu na kukaa katika nafasi yako always. Kuna raha mwanamke akiwa calm na msikivu. Makes you feel like a man and thats the most pleasurable feeling a woman can ever offer to her man.
 
Back
Top Bottom