miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Haahahaha yah. Mambo ya uzungu mimi sitaki. Diplomasia wabaki nayo akina Obama. I am a typical African. Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama being submisive ni ushamba basi let me beHahahah ondoa shaka, maombi yako yamejibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]! Im good at putting a woman in her place...Proudly a black king!