Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
AmeeenPraying things go well, Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeeenPraying things go well, Amen
Mbuzi kama mbuziYou earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!
Pesa zake zimeshikana na roho yake.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Hivi kumbe huyu ni mpare
Ndiyo maana kwake kumpa pesa mwanamke ni mgogoro wa nafsi! Tusimlaumu sana!
Mbona kwenye pesa hamuongelei hizo cultural values jamaniYou earned my respect. Kama hujaolewa naomba nipe gharama za mahari mume yupo. We need more wives who hold the cultural values sio hizi mbuzi zinaojifanya kushupaza shingo. Keep up that spirit!
Teh teh sasa dikteta gani unashindwa kusimamia majukumu yako ndani ya nyumba peke yako unataka mke akupige tafuWenzio wanaona kama wanakuwa bullied eti. Mi ni yule baba ambaye sipendagi ujinga. Naitwaga dikteta humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na mimi the definitions goes beyond having fun cause we both gotta communicate well on how to makes things more better. I believe love is a 2 way traffic road.Do not forget there are immatured men. Wao bado wana have fun.
Pumba² yani😂Kuna mbuzi zinajifanya Zina fact lakin kiukweli Ni pumba tupu
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Haya babaAliekwambia nashindwa majukumu yangu pekee ni nani! It was a matter of opinions tu.
Uzuri ulishakiri at some point hata baba yako alisaidiwa bills na mama yako. What i believe wazazi wako walikuwa kizazi cha TANU na wameishi maisha halisi ya mtanzania ambayo tunaelewa kupigana tuff ni swala la kawaida ila wewe unataka kujifanya kama ni Ivanka Trump or something! Your dad was nor a politician or a Ambassador or sumn! Acha kujikweza kiajabu ajabu.Oohh basi hata wanaume wanaokwepa majukumu yao na kutaka wanawake wawasaidie kwa kisingizio cha kwamba maisha kusaidiana na huo ndiyo upendo hata sisi huo tunautazama kama uvivu! We can not get married to irresponsible men!
Mtu kama wewe pesa nikishakujua yako sigusi ila ntakupigisha kazi kama beki 3 vile amna kuomba poo. Just to show you who calls the shots! And i'll never show empathy on you.Aahh mimi kama tunapeana pesa kwa usawa basi hata kazi za ndani tutafanya kwa usawa tu hilo halina ubishi! Hayo yote nitafanya mwenyewe ikiwa pesa yangu ni yangu while pesa yako ni yetu fullstop!
Chanzo cha haya yote ni pale wanaume mlipoanza kutaka wanawake tuwasaidie majukumu yenu kitu ambacho hakipo kwenye tamaduni zetu! Mbaya zaidi mnaipinga 50/50 ila eti majukumu yenu tufanye kwa usawa!
Huyo binamu yako anahisi familia yao imeoa sababu kwao wana hela kushinda kwa mumewe. Ukishalipiwa mahari ujue unakata ties na kwenu. Unaishi katika mazingira mapya ya ukweni..Ushahama ukoo!Kuna binam yangu aliolewa last year... ndoa ya matashtiti. Haijafika mwaka imekufa. Mboga saba lkn nje drammars. Nadhan pia alikua na kauli mbaya kwa mumewe maana funancially mwanaume kwao wa kawaida zaidi na sana sana. Nadhan atakua alikua anamtishia kwetu hatunaga shida kama kawaida na hashuo za hapa na pale maana ndo kauli zake. Basi ndo hivyo mwanaume kaenda chumbia mwanamke mwingine na ujauzito juu[emoji23]
Sasa hapa mbona unachanganya madesa tena! Hao wanawake wanaowasaidia wanaume zao kiuchumi ndiyo kina Ivanka Trump sasa maana huko kwa akina Ivanka ndiyo 50/50 ambayo hamuitaki imeshamiri mume akilipia bill ya umeme mke analipia ya maji na jikoni wanaingia wote maisha yanaendelea!Uzuri ulishakiri at some point hata baba yako alisaidiwa bills na mama yako. What i believe wazazi wako walikuwa kizazi cha TANU na wameishi maisha halisi ya mtanzania ambayo tunaelewa kupigana tuff ni swala la kawaida ila wewe unataka kujifanya kama ni Ivanka Trump or something! Your dad was nor a politician or a Ambassador or sumn! Acha kujikweza kiajabu ajabu.
Ndio maana nikakwambia usijihisi kwamba wewe ni Ivanka Trump mtoto wa raisi na mfanyabiashara tajiri.Sasa hapa mbona unachanganya madesa tena! Hao wanawake wanaowasaidia wanaume zao kiuchumi ndiyo kina Ivanka Trump sasa maana huko kwa akina Ivanka ndiyo 50/50 ambayo hamuitaki imeshamiri mume akilipia bill ya umeme mke analipia ya maji na jikoni wanaingia wote maisha yanaendelea!
Halafu nilikuambia mzee wangu kalelewa kwenye itikadi za "hakuna kazi ya mwanamke wala ya mwanaume" na wazee wake so hakuona shida siku moja moja kusaidia kazi za nyumbani bila kupangiwa zamu wala kulazimishwa na mtu! Hata mimi mwanaume akiwa hivyo aahh mbona nampiga tafu vizuri tu!
Mimi wa hvi Ni kwamba atapiga kazi Kama punda kila siku nahakikisha ana ratiba ndefu mpka anafika miaka 40 mgongo na kiuno havina mahusiano mzuri Apo Ni kwamba kila mtu afanye majukum yakeMtu kama wewe pesa nikishakujua yako sigusi ila ntakupigisha kazi kama beki 3 vile amna kuomba poo. Just to show you who calls the shots! And i'll never show empathy on you.
On top of that i'll be freaking you out kadri ninavyoweza maana unaleta ujuaji.Nakulisha na kukupa kila kitu ila ntakugeuza sex toy indeed. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af ndio utaona kipi kina uzito kati ya hela na upendo.
Wanaume kama wewe dawa ni kuacha kazi tu niwe mama wa nyumbani halafu uwe unanihudumia kwa kila kitu yaani hadi hela ya mafuta na sabuni niwe nakuomba wewe! Hapo tutaelewana sasa ole wako usinipe!Mtu kama wewe pesa nikishakujua yako sigusi ila ntakupigisha kazi kama beki 3 vile amna kuomba poo. Just to show you who calls the shots! And i'll never show empathy on you.
On top of that i'll be freaking you out kadri ninavyoweza maana unaleta ujuaji.Nakulisha na kukupa kila kitu ila ntakugeuza sex toy indeed. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af ndio utaona kipi kina uzito kati ya hela na upendo.