Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Do not forget there are immatured men. Wao bado wana have fun.
Ukiwa na mimi the definitions goes beyond having fun cause we both gotta communicate well on how to makes things more better. I believe love is a 2 way traffic road.

Nachoamini KE akiwa understanding na akapata patner mwenye upendo na hekima theres a large room for continous improvement. Labda mmoja awe mbinafsi.
 
Teh teh sasa dikteta gani unashindwa kusimamia majukumu yako ndani ya nyumba peke yako unataka mke akupige tafu
Aliekwambia nashindwa majukumu yangu pekee ni nani! It was a matter of opinions tu.
 
Oohh basi hata wanaume wanaokwepa majukumu yao na kutaka wanawake wawasaidie kwa kisingizio cha kwamba maisha kusaidiana na huo ndiyo upendo hata sisi huo tunautazama kama uvivu! We can not get married to irresponsible men!
Uzuri ulishakiri at some point hata baba yako alisaidiwa bills na mama yako. What i believe wazazi wako walikuwa kizazi cha TANU na wameishi maisha halisi ya mtanzania ambayo tunaelewa kupigana tuff ni swala la kawaida ila wewe unataka kujifanya kama ni Ivanka Trump or something! Your dad was nor a politician or a Ambassador or sumn! Acha kujikweza kiajabu ajabu.
 
Aahh mimi kama tunapeana pesa kwa usawa basi hata kazi za ndani tutafanya kwa usawa tu hilo halina ubishi! Hayo yote nitafanya mwenyewe ikiwa pesa yangu ni yangu while pesa yako ni yetu fullstop!

Chanzo cha haya yote ni pale wanaume mlipoanza kutaka wanawake tuwasaidie majukumu yenu kitu ambacho hakipo kwenye tamaduni zetu! Mbaya zaidi mnaipinga 50/50 ila eti majukumu yenu tufanye kwa usawa!
Mtu kama wewe pesa nikishakujua yako sigusi ila ntakupigisha kazi kama beki 3 vile amna kuomba poo. Just to show you who calls the shots! And i'll never show empathy on you.

On top of that i'll be freaking you out kadri ninavyoweza maana unaleta ujuaji.Nakulisha na kukupa kila kitu ila ntakugeuza sex toy indeed. 😂😂😂😂😂 af ndio utaona kipi kina uzito kati ya hela na upendo.
 
Kuna binam yangu aliolewa last year... ndoa ya matashtiti. Haijafika mwaka imekufa. Mboga saba lkn nje drammars. Nadhan pia alikua na kauli mbaya kwa mumewe maana funancially mwanaume kwao wa kawaida zaidi na sana sana. Nadhan atakua alikua anamtishia kwetu hatunaga shida kama kawaida na hashuo za hapa na pale maana ndo kauli zake. Basi ndo hivyo mwanaume kaenda chumbia mwanamke mwingine na ujauzito juu[emoji23]
Huyo binamu yako anahisi familia yao imeoa sababu kwao wana hela kushinda kwa mumewe. Ukishalipiwa mahari ujue unakata ties na kwenu. Unaishi katika mazingira mapya ya ukweni..Ushahama ukoo!

Huyo jamaa aliomtosa amefanya kazi nzuri sana kumuadabisha kenge huyo cousin wako. Iwe fundisho kwa domo lake chafu for once and for all. Halafu watu wanafanyaga hizo mistakes sio kama hawajui ila ushamba tu unawasumbua.
 
Uzuri ulishakiri at some point hata baba yako alisaidiwa bills na mama yako. What i believe wazazi wako walikuwa kizazi cha TANU na wameishi maisha halisi ya mtanzania ambayo tunaelewa kupigana tuff ni swala la kawaida ila wewe unataka kujifanya kama ni Ivanka Trump or something! Your dad was nor a politician or a Ambassador or sumn! Acha kujikweza kiajabu ajabu.
Sasa hapa mbona unachanganya madesa tena! Hao wanawake wanaowasaidia wanaume zao kiuchumi ndiyo kina Ivanka Trump sasa maana huko kwa akina Ivanka ndiyo 50/50 ambayo hamuitaki imeshamiri mume akilipia bill ya umeme mke analipia ya maji na jikoni wanaingia wote maisha yanaendelea!

Halafu nilikuambia mzee wangu kalelewa kwenye itikadi za "hakuna kazi ya mwanamke wala ya mwanaume" na wazee wake so hakuona shida siku moja moja kusaidia kazi za nyumbani bila kupangiwa zamu wala kulazimishwa na mtu! Hata mimi mwanaume akiwa hivyo aahh mbona nampiga tafu vizuri tu!
 
Ndio maana nikakwambia usijihisi kwamba wewe ni Ivanka Trump mtoto wa raisi na mfanyabiashara tajiri.
Maisha ya wazazi wako hasa ya baba yako na mama yako itikadi zake ni tofauti na mimi. When you get married utafata utamaduni wetu sisi hasa wa mumeo thats why tuna replace jina la baba yako. You don't force things hasa culture uliotoka nayo kwenu kuja kwetu..it never works like that.
 
Mtu kama wewe pesa nikishakujua yako sigusi ila ntakupigisha kazi kama beki 3 vile amna kuomba poo. Just to show you who calls the shots! And i'll never show empathy on you.

On top of that i'll be freaking you out kadri ninavyoweza maana unaleta ujuaji.Nakulisha na kukupa kila kitu ila ntakugeuza sex toy indeed. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af ndio utaona kipi kina uzito kati ya hela na upendo.
Mimi wa hvi Ni kwamba atapiga kazi Kama punda kila siku nahakikisha ana ratiba ndefu mpka anafika miaka 40 mgongo na kiuno havina mahusiano mzuri Apo Ni kwamba kila mtu afanye majukum yake

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama wewe pesa nikishakujua yako sigusi ila ntakupigisha kazi kama beki 3 vile amna kuomba poo. Just to show you who calls the shots! And i'll never show empathy on you.

On top of that i'll be freaking you out kadri ninavyoweza maana unaleta ujuaji.Nakulisha na kukupa kila kitu ila ntakugeuza sex toy indeed. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af ndio utaona kipi kina uzito kati ya hela na upendo.
Wanaume kama wewe dawa ni kuacha kazi tu niwe mama wa nyumbani halafu uwe unanihudumia kwa kila kitu yaani hadi hela ya mafuta na sabuni niwe nakuomba wewe! Hapo tutaelewana sasa ole wako usinipe!

Yaani kama unafikiri utakuwa umenikomoa my dear pole sana! Mimi kufanya hizo kazi za ndani nikiwa mama wa nyumbani huku sitafuti pesa yoyote mume ananihudumia kwa kila kitu sioni shida kabisa hata uwe dikteta la kutupwa utajua mwenyewe ilimradi unanihudumia kwa kila kitu na usininyanyase wala kunipiga!
 
Back
Top Bottom