Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Ndio maana nikakwambia usijihisi kwamba wewe ni Ivanka Trump mtoto wa raisi na mfanyabiashara tajiri.
Maisha ya wazazi wako hasa ya baba yako na mama yako itikadi zake ni tofauti na mimi. When you get married utafata utamaduni wetu sisi hasa wa mumeo thats why tuna replace jina la baba yako. You don't force things hasa culture uliotoka nayo kwenu kuja kwetu..it never works like that.
Sasa mbona umetolea mfano kuwa mama yangu alikuwa anampiga tafu mzee wangu! Mama yangu ni mama yangu na mimi ni mimi!

Unatakiwa uchague moja tunafuata tamaduni zetu au tunaenda kisasa! Of which yote hayo unajua sifa zake usichanganye madesa!
 
Wanaume kama wewe dawa ni kuacha kazi tu niwe mama wa nyumbani halafu uwe unanihudumia kwa kila kitu yaani hadi hela ya mafuta na sabuni niwe nakuomba wewe! Hapo tutaelewana sasa ole wako usinipe!

Yaani kama unafikiri utakuwa umenikomoa my dear pole sana! Mimi kufanya hizo kazi za ndani nikiwa mama wa nyumbani huku sitafuti pesa yoyote mume ananihudumia kwa kila kitu sioni shida kabisa hata uwe dikteta la kutupwa utajua mwenyewe ilimradi unanihudumia kwa kila kitu sasa ole wako useme hauna pesa!
Wewe wa hvi nikishakujua Mimi ndo nitakua wa kwanza kukuachisha kazi ...coz kazi unayofanya haina faida yoyote kwenye familia nakuachisha kazi unakua modern beki tatu
Utahenyeka
Utapiga kazi Kama watumwa wa Livingston
Boxer utafua
Soksi utafua
Yani Mimi kazi Yangu Ni kula kupendeza na kuleta hela nyumbani
Na shopping nafanya mm sio wewe
Nakwambia hutokaa upate hata nafasi ya kumsalimia shoga yako
Na nakuzalisha watoto double double

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona umetolea mfano kuwa mama yangu alikuwa anampiga tafu mzee wangu! Mama yangu ni mama yangu na mimi ni mimi!

Unatakiwa uchague moja tunafuata tamaduni zetu au tunaenda kisasa! Of which yote hayo unajua sifa zake usichanganye madesa!
Mi nifuate tamaduni zenu? You mus be kidding me girl!😂
 
Wewe wa hvi nikishakujua Mimi ndo nitakua wa kwanza kukuachisha kazi ...coz kazi unayofanya haina faida yoyote kwenye familia nakuachisha kazi unakua modern beki tatu
Utahenyeka
Utapiga kazi Kama watumwa wa Livingston
Boxer utafua
Soksi utafua
Yani Mimi kazi Yangu Ni kula kupendeza na kuleta hela nyumbani
Na shopping nafanya mm sio wewe
Nakwambia hutokaa upate hata nafasi ya kumsalimia shoga yako
Na nakuzalisha watoto double double

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂 huyu dada hizi itikadi zake zitamletea madhara makubwa sana ila yeye hajui maskini
 
Mimi wa hvi Ni kwamba atapiga kazi Kama punda kila siku nahakikisha ana ratiba ndefu mpka anafika miaka 40 mgongo na kiuno havina mahusiano mzuri Apo Ni kwamba kila mtu afanye majukum yake

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Sasa unamkomoa nani? Yaani wewe kumhudumia mkeo unaona kama umemfanyia hisani ndiyo maana unataka kumpelekesha kama punda tu si ndiyo?

Nasikitika hamzijui akili za wanawake nyie tunavyojifanya mafala mnadhani sisi ni mafala kweli! Mwanamke akiamua kulipa kisasi hata shetani anakaa pembeni kuchukua mafunzo!
 
Kwan nyie akili zetu mnazijua?

Alafu Sio kumpelekesha Ni kila mtu anafanya majukum yake ...na hayo ndo majukum yenyewe ya mwanamke

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe wa hvi nikishakujua Mimi ndo nitakua wa kwanza kukuachisha kazi ...coz kazi unayofanya haina faida yoyote kwenye familia nakuachisha kazi unakua modern beki tatu
Utahenyeka
Utapiga kazi Kama watumwa wa Livingston
Boxer utafua
Soksi utafua
Yani Mimi kazi Yangu Ni kula kupendeza na kuleta hela nyumbani
Na shopping nafanya mm sio wewe
Nakwambia hutokaa upate hata nafasi ya kumsalimia shoga yako
Na nakuzalisha watoto double double

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
My friend omba upate mwanamke mjinga mjinga atakayekubali hayo na kwa dunia ya sasa sijui utamkuta yupi wa hivyo! Wanawake waliokubali hayo walishakufa kwenye vita ya pili ya dunia hawa wa sasa angalia tu usije ukaishia kujikomoa mwenyewe!

Eti unamzalisha watoto double double hivi anayeamua kuzaa ni mwanaume au mwanamke? Akishajua unamfanyia makusudi kila mkifanya mimba ikiingia si anajimezea tu mavidonge yake anazuia uzazi hadi pale atakapoamua yeye kubeba mimba na kuzaa wewe hayo utajua saa ngapi uko busy kutafuta hela huko upeleke nyumbani?
 
Mi nifuate tamaduni zenu? You mus be kidding me girl![emoji23]
Sijamaanisha tamaduni zetu na wazazi wetu usijifanye unakaza kichwa! Namaanisha tamaduni za kiafrika uchague either tufuate tamaduni zetu za kiafrika au usasa fullstop!
 
Ukiwa na mimi the definitions goes beyond having fun cause we both gotta communicate well on how to makes things more better. I believe love is a 2 way traffic road.

Nachoamini KE akiwa understanding na akapata patner mwenye upendo na hekima theres a large room for continous improvement. Labda mmoja awe mbinafsi.
Kitu kikubwa katika mahusiano ni mawasiliano na uelewa. Mukiweza hivyo basi. U win
 
My friend omba upate mwanamke mjinga mjinga atakayekubali hayo na kwa dunia ya sasa sijui utamkuta yupi wa hivyo! Wanawake waliokubali hayo walishakufa kwenye vita ya pili ya dunia hawa wa sasa angalia tu usije ukaishia kujikomoa mwenyewe!

Eti unamzalisha watoto double double hivi anayeamua kuzaa ni mwanaume au mwanamke? Akishajua unamfanyia makusudi kila mkifanya mimba ikiingia si anajimezea tu mavidonge yake anazuia uzazi hadi pale atakapoamua yeye kubeba mimba na kuzaa wewe hayo utajua saa ngapi uko busy kutafuta hela huko upeleke nyumbani?
Tena wewe Karma nikukupata ndo utajionea kua wanawake wa kufanya hvo wapo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
A
My friend omba upate mwanamke mjinga mjinga atakayekubali hayo na kwa dunia ya sasa sijui utamkuta yupi wa hivyo! Wanawake waliokubali hayo walishakufa kwenye vita ya pili ya dunia hawa wa sasa angalia tu usije ukaishia kujikomoa mwenyewe!

Eti unamzalisha watoto double double hivi anayeamua kuzaa ni mwanaume au mwanamke? Akishajua unamfanyia makusudi kila mkifanya mimba ikiingia si anajimezea tu mavidonge yake anazuia uzazi hadi pale atakapoamua yeye kubeba mimba na kuzaa wewe hayo utajua saa ngapi uko busy kutafuta hela huko upeleke nyumbani?
Asa ukimeza vidonge si unawekwa kando tu anachukuliwa anaejua jukumu lake. Kwani unaolewa ukapike na kufua tu kwa mume. Main job ni kuzaa watoto. You will be extra stupid kama utameza vidonge ili uendelee kulishwa tu bure.
 
Huyo binamu yako anahisi familia yao imeoa sababu kwao wana hela kushinda kwa mumewe. Ukishalipiwa mahari ujue unakata ties na kwenu. Unaishi katika mazingira mapya ya ukweni..Ushahama ukoo!

Huyo jamaa aliomtosa amefanya kazi nzuri sana kumuadabisha kenge huyo cousin wako. Iwe fundisho kwa domo lake chafu for once and for all. Halafu watu wanafanyaga hizo mistakes sio kama hawajui ila ushamba tu unawasumbua.
Kama umefoka sana[emoji1787][emoji1787] she is kept in her right place. Amejifunza jambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu dada hizi itikadi zake zitamletea madhara makubwa sana ila yeye hajui maskini
Madhara yapi? Halafu nikuambie sasa mimi sina shida kabisa kuwa chini ya mwanaume ila sipendi ujinga maana hata mimi ujinga nauweza vile vile!

Yaani mwanaume uninyanyase eti kisa nimekuachia ufanye majukumu yako mwenyewe? Utakuwa ni mwanaume wa ajabu kuwahi kutokea!
 
A
Asa ukimeza vidonge si unawekwa kando tu anachukuliwa anaejua jukumu lake. Kwani unaolewa ukapike na kufua tu kwa mume. Main job ni kuzaa watoto. You will be extra stupid kama utameza vidonge ili uendelee kulishwa tu bure.
Huyu hajui akiongeacho [emoji14]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Sijamaanisha tamaduni zetu na wazazi wetu usijifanye unakaza kichwa! Namaanisha tamaduni za kiafrika uchague either tufuate tamaduni zetu za kiafrika au usasa fullstop!
Mie mke atafata tamaduni za asili ya kiafrika na specifically nilizokua nazo mimi. I set the rules its either you stick to the script or ukae chonjo. There are plenty women out there na mwanaume hana expire date!
 
Madhara yapi? Halafu nikuambie sasa mimi sina shida kabisa kuwa chini ya mwanaume ila sipendi ujinga maana hata mimi ujinga nauweza vile vile!

Yaani mwanaume uninyanyase eti kisa nimekuachia ufanye majukumu yako mwenyewe? Utakuwa ni mwanaume wa ajabu kuwahi kutokea!
Huwezi ku feel unanyanyasika if you know your purpose! Thats the plain truth..Ukijijua we ni mwanamke na una nafasi gani kama sehemu ya familia utainjoy badala ya complaining
 
Back
Top Bottom