Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Sasa upande upi unaonufaika na upi unaoumia hapo? Tena mimi naona ninyi wanaume ndiyo huwa mnataka mnufaike kwenye kila kitu kinachohusiana na mapenzi!

Maana 50/50 inataka mwanaume na mwanamke wote wawe sawa kuanzia kwenye haki hadi kwenye majukumu! Ila ninyi wanaume hamtaki kuwe na haki sawa ila kwenye majukumu mnataka tuwe sawa tena majukumu yenyewe ni ya kiuchumi tu ndiyo mnataka tuwe sawa ila kwenye majukumu mengine hatuko sawa siyo?
Mwishowe watatugeuza marobot hawa
 
hahahahahahahahahaha jamani nimecheka sina hamu

huu uzi umejua kunichekesha hasaaa, watu wa Jf mna mambo na visa

JF raha sanaaaaaaaaaaaa
 
Hiyo ya pili nilishaambiwaga huwa inauma sema wanaume maumivu yetu huwa yanapoa haraka
 
Na ukiona mwanamke anakuonyesha ukosefu wa adabu kwa kuongea na wanaume wengine mbele yako bila tahadhari basi jua huyo ameshajiweka kuwa goma la wote na yupo hapo kwaajiri ya open fucking kwa yoyote atae muonyesha interest.
Na ukiona mwanamke anakuonyesha ukosefu wa adabu kwa kuongea na wanaume wengine mbele yako bila tahadhari basi jua huyo ameshajiweka kuwa goma la wote na yupo hapo kwaajiri ya open fucking kwa yoyote atae muonyesha interest.
Hii post yako ningeiona mapema yasingenikuta ya kunikuta
 
Haahahaha yah. Mambo ya uzungu mimi sitaki. Diplomasia wabaki nayo akina Obama. I am a typical African. Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama being submisive ni ushamba basi let me be
Ningekuwa Rais, kesho ungekuwa katika vyombo vya habari ukiongea na waandishi wa habari juu ya majukumu yako mapya katika ofisi ya waziri wa Ustawi wa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa Rais, kesho ungekuwa katika vyombo vya habari ukiongea na waandishi wa habari juu ya majukumu yako mapya katika ofisi ya waziri wa Ustawi wa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] asante ndugu mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Jamii Forums. Kwa kuwa ni mwanaume ninepokea na nimetii neno lako..sitabisha wala kukataa asilani abadani
 
Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Kuna watu mna moyoo
 
Back
Top Bottom