Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage

Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.

Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:

"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"

"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"

"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"

"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"

"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"
Kuombwa hela kila kukicha na ukikataa kumpa hiyo siku utasikia mwanaume gani asiye na hela, kwanini usitafute kama wenzako?
 
" Aisse, mama pendo na mme wake ndio wanakula laifu, sisi wengine ni wasindikizaji tu " Hilo nilirushiwa na bidada kipindi ndio Kwanza tuna anza anza maisha...!!! sikumsemesha kwa pale, ila siku ya pili katoka kwenye mishe zake akakuta kitasa kipya, aliponipigia simu nikamwambia atizame kwenye simu nimemtumia hela ya nauli ya kwao, na mabegi nimeshayatanguliza na basi. Kisha nikabadilisha laini na kuhama mtaa kwa miezi minne. Nilipomrudisha na kumueleza kosa lake, alibaki anashangaa tu, ila ninaishi nae mpaka sasa, watoto 3, nikikohoa tu, anaruka, Na akitaka kuongea anaomba ruhusa, Kisha anaongea taratibu kwa kuchagua maneno...[emoji41][emoji41][emoji41] !!!!
Yes, wewe ndiyo mwanamme haswa si hawa vijana dizaini ya Diamond na Ali Kiba.
 
Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Hapo hakuna mtu, unafosi mapenzi kwa mbulula
 
"Ungekuwa Handsome kama mjomba ako ungenoga sana "

"Hunipunguzii chochote hata ukissma tuachane".

"Kamwe utapata kama mimi na hayupo".

"Mwanaume haupo Romantic kama Saidi Mbwambo, na. kumbuka Saidi wangu jamani yule kaka ". Aaaah kum_amamake hapa ndio nilimpa Mabanzi na ikawa mwisho wetu.
Dah hilo la kunilinganisha na saidi mbwambo ndio ingekuwa mazishi ya penzi letu. 🤣🤣🤣 Kipigo chake angemsimulia hadi baba yake.
 
Baada ya kumla mara kadhaa geto kwake ambako nilililazomika kulipia pango alikuwa moja ya pisi zangu zinazopenda hela mno ila uchawi wake ilikuwa kumpeleka mziki na bia tu weekend. Sahizi ni single maza.

"Sitaki shida ndogo ndogo, mwanaume mwenyewe bahili kama nini"

"Sitaki mtu hapa kwangu, ukijiskia kutaka uchi ndio unaleta kimb.oo chako hapa"

"Tunatoka au? Kama hatutoki hamna mzigo hapa chapa yebo"

"Si uende kwa mkeo leo mi staki usumbufu kabisa."
 
Nilishawahi shusha uzi umu way back, kipindi hicho nipo apeche alolo ukinikung'uta natoa unga kama shuka la mashineni lkn wkt huo wife yupo kwenye pick.

Ktk kauli mbovu ambayo niliwahi kutamkiwa na wife ni " ningekuwa mwanaume ningekuoa mm" hii yote kwa sababu uchumi uliyumba.[emoji51]

Unajua nn now, mungu mkubwa ss nime bounce back nipo kampuni moja ya wazungu vidolali havichezi mbali mambo yapo super tena kushinda zamani[emoji123][emoji898][emoji483].

Wife alishafulia mambo yake yapo mrama lkn mm nimemsamehe na tupo pamoja heshima iliyopotea imerudi ss sijui kwa sababu nipo vizuri na yy kachapika lkn I don't care tupo tunatunza familia[emoji123][emoji123].
 
Sema nn kuna chutoara wa ki swidish tunapiga nae mishe katokea kunikubali sn kwakuwa kwa maelezo yake hajawahi kutana na dick heavy na motto[emoji91] Kama huu ninao mpelekea na kuna kila dalili ame consieve.

Aarggh vyovyote iwavyo tumeshauriana hakuna kutoa hiyo preg na yy karidhia, naenda kuwa na katoto ka halfcast[emoji1787][emoji123][emoji898][emoji483].
 
Alikuwa anaongea na simu huku akifoka.. nikamuuliza vipi mama unaongea na nani mbona unamfokea ivo akaniambia ni mtu wangu wa zamani bado ananililia lia hapa.. nikasema duu.. akajibu..

" wakati wake ulishapita , sahizi ni wakati wako bhana, ukitoka wewe utakuja wakati wa mwingine pia , ndo maisha yenyewe"..
Jibu safi
 
Nilishawahi shusha uzi umu way back, kipindi hicho nipo apeche alolo ukinikung'uta natoa unga kama shuka la mashineni lkn wkt huo wife yupo kwenye pick.

Ktk kauli mbovu ambayo niliwahi kutamkiwa na wife ni " ningekuwa mwanaume ningekuoa mm" hii yote kwa sababu uchumi uliyumba.[emoji51]

Unajua nn now, mungu mkubwa ss nime bounce back nipo kampuni moja ya wazungu vidolali havichezi mbali mambo yapo super tena kushinda zamani[emoji123][emoji898][emoji483].

Wife alishafulia mambo yake yapo mrama lkn mm nimemsamehe na tupo pamoja heshima iliyopotea imerudi ss sijui kwa sababu nipo vizuri na yy kachapika lkn I don't care tupo tunatunza familia[emoji123][emoji123].
Walioleta women empowerment ndio walio engineer uozo uliopo sasa kama ushoga na usagaji.

Mwanaume huwezi kuwa na power thabiti kama huna uchumi wa kumfanya mwanamke akutambue uwepo wako. Ndio maana sahizi bahari ni tulivu. Usipokuwa strong huwezi ishi na mke mwenye uchumi mzuri. Atakuburuza tu
 
Kwakweli bahari imetulia kwa ss na life Lina move on, imagine Sasa hivi maji napelekewa bafuni bila kuulizwa, mbususu napewa 24/7.

Yaani kiufupi amejirudi na amekuwa mpole balaa, sema nn ajiandae kulea ka halfcast kangu ambako kapo on the way[emoji123]
 
Back
Top Bottom