Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo?
Mtoto: Lakini mama......
Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea?

2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia uchelewe sasa ole wako uchelewe)

3. Baada ya kumuogesha mtoto eti anamwambia halafu ukajichafue tena!

Tupia na nyingine!
 
hao ndio mama zetu mkononi kashikilia ndala [emoji23] [emoji23]

ukikosea ukakimbia anakuitia pipi, njoo uchukue mwanangu taaamu, jichanganye uende utajuta kuzaliwa kwa kipigo atakachokushushia.
Kizazi cha .com[emoji16][emoji16]
Enzi zetu tunakua sisi hakukua na pipi holela...ukitaka kupata pipi ununue shati
 
Back
Top Bottom