Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dduhhh 😅😅😅😅Soma ukanunue tv yako mm hii sikununuliwa na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ya kupasua vyombo ,uzuri alikuwa ananunua baba.Pasua tu ziko nyingi na nyingine atanunua baba yako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wanaibaje tena,1.Hao Marafiki zako nisiwaone hapa kwangu tena...
Wasije wakaniibia TV yangu..
2.Giza likiingia hujarudi hapa ulale hukohuko...
Huyo atakua singo maza anayezalishwa na watu tofauti.Baba yako hajaleta hata mbuni[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wanaibaje tena,
Yaani[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua hata basi....Mama zetu hao kipenzi....
>>Upo zako sebuleni ukadondosha kijiko bahati mbaya utasikia, vunja vunja kabisa nenda na kabatini kavunje vyote baba yako ana hela mbwa wewe
Au anakuambia kula chote umalize,mwanangu fulani/wanangu hawajala[emoji23].Ukiwa unaenda kupakua msosi
Mama: ukumbuke na wenzako hawajala[emoji1787]