Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

'Sina kisima cha pesa mie', 'kama pesa mchanga nawewe kachote huko nje'

Sikuwahi mumskia mama akitukana lile tusi la mama hata siku moja, yeye maneno yake 'hopeless', ' mtt wee upo careless, care free' hata maana yake nilikuwa sijui 😅😅😅.

Ila akisirika sn mara unaambiwa kichwa kama mshipa 🤣🤣🤣
 
Natoka,usioshe vyombe nenda ukacheze mwanangu nikirudi nitaosha mie niliekula[emoji23][emoji23][emoji23],sasa jichanganye ukacheze bila kuosha vyombo.....


Aisee,nimemsumbua sana mama yangu na nimechezea sana bakora tena za hatari,isingekuwa hivyo sijui ningekuwaje leo.

[emoji173][emoji173]mama.
 
Back
Top Bottom