Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

Me: Mama nipo jikoni, sijaona hicho kikombe ulichoniagiza

Mama: Kiite kikombe kitakuja hapo ulipo

>>Upo zako sebuleni ukadondosha kijiko bahati mbaya utasikia, vunja vunja kabisa nenda na kabatini kavunje vyote baba yako ana hela mbwa wewe

Me: Mama zile nguo zangu za shule ziko wapi

Mama: Kamuulize shangazi yako
 
Mtt: mama haya mandazi yote yangu?
Mm: km we peke yako ndio una roho kula yote
 
Back
Top Bottom