Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
🤣🤣Make kwanza nicheke tu hapa 😂😂😂😂😂🤭
Bado upo kwakemama angu mimi akiwa anaongea ukimjibu anakwambia unadharau, ukikaa kimya una kiburi..sasa sijui hua anataka nini 😂😂😂
Ndio 😃😃😂😂😂🤭Bado upo kwake
Ahahaha😂😂😂😂naondoka naenda kwenye kikundi nikirudi, nikute vyombo avijaoshwa na wala maji msichote, muende kuzurula. sawa watoto wazuri mmenielewaa eeh!!."" sasa we ji mix uje uone jioni
Hii ni kali 😁😁😁😁😁Mama: nakupiga alafu ulii
Mtoto: anaanza kulia iiiiiiii😭
Mama: ole wako nisikikie ng'wiiii au nione machozi
Akutunze uje kuwa mama boraNdio 😃😃😂😂😂🤭
mama angu mimi akiwa anaongea ukimjibu anakwambia unadharau, ukikaa kimya una kiburi..sasa sijui hua anataka nini
hao ndio mama zetu mkononi kashikilia ndala 😂 😂Hii ni kali 😁😁😁😁😁
Kizazi cha .com[emoji16][emoji16]hao ndio mama zetu mkononi kashikilia ndala [emoji23] [emoji23]
ukikosea ukakimbia anakuitia pipi, njoo uchukue mwanangu taaamu, jichanganye uende utajuta kuzaliwa kwa kipigo atakachokushushia.
Yeah 😊🤗Akutunze uje kuwa mama bora