Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwakoโ€ฆ

niliwahi pita dirishani nikaingia jikoni kulamba sukari ile natoa tu kichwa nitoke bi mkubwa huyu hapa kumbe aliniona nikiingia akaandaa silaha za maangamizi, nilipigwa na fagio la kichwa nikaangukia jikoni kwenye sufuria kubwa ๐Ÿ˜‚.. Namshukuru sana mama kwa kipigo kile maana huenda lisingetokea lile ningekuwa mwizi.
 
Ndo maana una kichwa kirefu,aahaaaaa
 
Kwanini "tata"? Sijawahi kuuona utata hata mmoja kwenye kauli za wazee wangu, zote zilililenga kunijenga kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ