Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sawa mchumba 🚶Zimefika usijali
SawasawaSawa mchumba 🚶
Uzee ni dawa, siyo ugonjwa.Hadi ukazeeka nawe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi ukimuita ita kila muda mama, utasikia na mimi nina mama mzuri kushinda wa kwenu...
sinaga izo pigo demu mwenyewe sina nna zaidi ya mwaka sasa.ushakua mwizi kazi kuiba madem za watu🤣
[emoji23][emoji23][emoji23]Mama yangu mimi akiwa anaongea ukimjibu anakwambia unadharau, ukikaa kimya una kiburi. Sasa sijui hua anataka nini [emoji23][emoji23][emoji23]