Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Shukrani mkuuKwakua Mwinyi alikua Mzanzibar na rais wa muungano, waziri mkuu wa wakati huo ndio akawa makamu wa kwanza wa rais, na si mwingine ni mzee Joseph Sinde Warioba
Rais akiwa Mzenj makamu sio lazima awe MtanganyikaHata hivyo ni logic. Ila kwani pia makamu wa Rais wa JMT lazima huwa anatoka upande wa pili wa Muungano. Rais akiwa Mtanganyika,makamu lazima awe mzenj. Na Rais akiwa mzenj,basi makamu lazima awe Mtanganyika.
PamojaShukrani mkuu
Jukumu la msingi la makamu wa Rais ni kushughulikia Muungano. Mengine ni ziada.Hata hivyo ni logic. Ila kwani pia makamu wa Rais wa JMT lazima huwa anatoka upande wa pili wa Muungano. Rais akiwa Mtanganyika,makamu lazima awe mzenj. Na Rais akiwa mzenj,basi makamu lazima awe Mtanganyika.
RAIS akifa,basi makamu anakuwa Rais. Hili ndo jukumu la msingi.Jukumu la msingi la makamu wa Rais ni kushughulikia Muungano. Mengine ni ziada.
Hapana, anatokea kigomaIla hata hivyo Makamu wa Rais si huwa anatokea zenji?
Ila tukumbuke tuliambiwaView attachment 1724312
Ujinga ubaya wake hauna mwisho kama akili. Job description yake ni kumsubilia Rais afe!? Ili yeye awe!!!! So ndio jukumu lake la msingi ujinga mzigo.RAIS akifa,basi makamu anakuwa Rais. Hili ndo jukumu la msingi.