Unakumbuka mwaka 1994 Wazanzibar walivyokasirika Rais wa Zanzibar kuondolewa kuwa Makamu wa Rais wa Muungano?

Hata hivyo ni logic. Ila kwani pia makamu wa Rais wa JMT lazima huwa anatoka upande wa pili wa Muungano. Rais akiwa Mtanganyika,makamu lazima awe mzenj. Na Rais akiwa mzenj,basi makamu lazima awe Mtanganyika.
Rais akiwa Mzenj makamu sio lazima awe Mtanganyika
 
Hata hivyo ni logic. Ila kwani pia makamu wa Rais wa JMT lazima huwa anatoka upande wa pili wa Muungano. Rais akiwa Mtanganyika,makamu lazima awe mzenj. Na Rais akiwa mzenj,basi makamu lazima awe Mtanganyika.
Jukumu la msingi la makamu wa Rais ni kushughulikia Muungano. Mengine ni ziada.
 
RAIS akifa,basi makamu anakuwa Rais. Hili ndo jukumu la msingi.
Ujinga ubaya wake hauna mwisho kama akili. Job description yake ni kumsubilia Rais afe!? Ili yeye awe!!!! So ndio jukumu lake la msingi ujinga mzigo.
 
Back
Top Bottom