The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wengi hawajui kuwa, gazeti hilo lilianzishwa na watu wawili. SAID BAWJI, na NICO YE MBAJO. Majina ya mwanzo ndiyo yalitengeneza jina SANI. Lakini baadaye Nico alijitoa, na kuanzisha gazeti lake (jina limenitoka kidogo).Kijarida cha wahenga enzi hizoView attachment 1259900
Sshadeeya nadhani toleo la kwanza la Sani ninalo, yaani marehemu Mzee alikua akinunua wakati huo na mimi nikiyahifadhi yote!Hivi Baba la Baba Sesten Zakazaka na wewe ulisomaga hivi vijarida au ndio kama mie tu. π π π
Mkuu Nico Ye Mbanjo alianzisha jarida la MCHESHI lililokua na michoro ya kina dada wenye maumbo yaliyokazia sanaWengi hawajui kuwa, gazeti hilo lilianzishwa na watu wawili. SAID BAWJI, na NICO YE MBAJO. Majina ya mwanzo ndiyo yalitengeneza jina SANI. Lakini baadaye Nico alijitoa, na kuanzisha gazeti lake (jina limenitoka kidogo).
Alipokuja kufariki SAID BAWJI, kaka yake aitwaye AMRI BAWJI, aliliendeleza kwa muda, na wakati huo huo, akaanzisha gazeti jingine liitwalo AMBA.
Historia inabaki kuwa, gazeti la SANI ndilo baba wa majarida yooooote ya namna hiyo!
Bila kusahau Dr. LOVE PimbiWapo wakina Lodilofa,Pimbi,Njemba nchumali,Kiokote,Watoto mapacha,Komred kipepe mzee wa nyika,Mapung'o,Chepe,
Umenikumbusha kitambo sana mkuu.
Mkuu, shukran kwa kunikumbusha. Na huyo Nico, ndiye aliyekuwa anachora, ile miaka ya mwanzoni lilipoanzishwa hilo Sani. Lakini kiboko ya uchoraji akaja kuwa Philipo Ndunguru.Mkuu Nico Ye Mbanjo alianzisha jarida la MCHESHI lililokua na michoro ya kina dada wenye maumbo yaliyokazia sana
Ni kweli Mkuu, Philip Ndunguru ndio mchoraji wa katuni orijino za kina Kipepe, Ndumilakuwili, Lodi Lofa, Mwinyi Mpeku na hata kumchora Mzee Sani mwenyeweMkuu, shukran kwa kunikumbusha. Na huyo Nico, ndiye aliyekuwa anachora, ile miaka ya mwanzoni lilipoanzishwa hilo Sani. Lakini kiboko ya uchoraji akaja kuwa Philipo Ndunguru.
Saafi sana Muhenga. π₯°Sshadeeya nadhani toleo la kwanza la Sani ninalo, yaani marehemu Mzee alikua akinunua wakati huo na mimi nikiyahifadhi yote!
Ninayo nimeyahifadhi mengi mpaka pale alipofariki Said Bawji ambaye ndie mwanzilishi wa gazeti hilo ndio nikaacha maana hata muelekeo wa story na maudhui vikabadilika
Nitakupa mpenzi uvipitie nawe ufaidi uhondo halisia wa vijarida hivi ambavyo vilikua gumzo nchi nzima wakati huo vikitoka mara moja kwa mweziSaafi sana Muhenga. π₯°
Mi nayasikia tu love hata sikumbuki kama nshawahi kuyaona. ππ
Aisee......
Chepe, mjomba Kobelo, Meko, Komred kipepe, Madenge na kadhalika. Hawa ndio walikuwa wasaka kabumbu wa team ya Bush Stars.
Ebu weka kumbukumbu sawa mkuu
Ewaaa!!! Yabidi aisee love. ππNitakupa mpenzi uvipitie nawe ufaidi uhondo halisia wa vijarida hivi ambavyo vilikua gumzo nchi nzima wakati huo vikitoka mara moja kwa mwezi
Na ukianza kijarida kimoja utataka umalize vyoote, yaani ni utamu kama wote loveEwaaa!!! Yabidi aisee love. ππ
Marhaba Mama Mchungaji...Na mimi Baba Mchungaji wacha nikupe Shikamoo tu kwa kweli kwani umetisha.
Mzee wetuHivi sukununu bado yupo?
Salama kabisa Baba Mchungaji. Kumekucha.Marhaba Mama Mchungaji...
Sabah l kheri habibi...!!