Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Ila pimbi bishoo kitambo sana
 
Madenge ni mtu kabisa. Nilishawahi kukutana naye Tandale. Ila kwa sasa umri umesogea kidogo. Nilimpa 5,000 nikaachana naye. Namba yake nnayo
 
Miaka hiyo nilikua bado sijafika duniani,
lakini naona mavazi ya kwenye hiyo michoro ndio inavaliwa sasa hivi au fashoon imerudi?
Fashion huenda na kurudi mkuu,hakuna kipya duniani
 
Miaka hiyo niliamini Madenge ni mtu kweli anaishi Dar es salaam.
Alikuwepo kweli pale Buguruni sokoni mtaa wa nyuma wowote unaitwa kwa Madenge japo sina uhakika na tabia zake kama zilifanya na kwenye gazeti.
 
Alikuwepo kweli pale Buguruni sokoni mtaa wa nyuma wowote unaitwa kwa Madenge japo sina uhakika na tabia zake kama zilifanya na kwenye gazeti.
Dah! Alipewa heshima ya mtaa kabisa
 
Miaka hiyo nilikua bado sijafika duniani,
lakini naona mavazi ya kwenye hiyo michoro ndio inavaliwa sasa hivi au fashoon imerudi?
Bwana mdogo hakuna kitu kipya Duniani...vyote Ni ubatili!
 
Kulikua na gazeti la mzalendo nilikua nafatilia sana hadithi za sunche na kapeto nilikua naamini wanaishi dar
Hao kama sio Sanifu basi Kasheshe

Sidhani kama ilikua mzalendo
 
Kama huvuti bange basi dunia ina maajabu sana
Madenge ni mtu kabisa. Nilishawahi kukutana naye Tandale. Ila kwa sasa umri umesogea kidogo. Nilimpa 5,000 nikaachana naye. Namba yake nnayo
 
hivi haki miliki ya sani inahodhiwa na kampuni ipi kwa sasa ? halfu kwanini watu hwanunui haki miliki wakatutengenezea hata series ya animination ya wahusika toka ktk haya majarida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…