Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,489
- 12,137
Umenikumbusha mbali sana!Bila kuwasahau
Zumo
Obi
Mzee ole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha mbali sana!Bila kuwasahau
Zumo
Obi
Mzee ole
Dogo wa tisini na ngapi wewe?Miaka hiyo nilikua bado sijafika duniani,
lakini naona mavazi ya kwenye hiyo michoro ndio inavaliwa sasa hivi au fashoon imerudi?
Afro70, wakina BalisidyaMambo namna hii View attachment 1254656
Wakati mi niliamini ni mtu kweli anaishi tabora hukoMiaka hiyo niliamini Madenge ni mtu kweli anaishi Dar es salaam.
Si bado yupo sani?Ibra washokera yupo wapi sahvi
Ova
Katika hao superstars wa Kihindi umemsahau mkongwe Dharmendra.Nilikuwepo, japo nilikuwa dogo lakini nilijua kusoma na kuandika. Hili toleo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi mara mbili kama sikosei.
Nilikuwa moshi ambapo ndio kwetu. Nakumbuka kipindi hiko mabasi ya town trip kcmc, kiboriloni yalikuwa ni SHIMAWIMO. Yaani (SHIrika la MAendeleo WIlaya ya MOshi)
Kumbi za cinema zilikuwa mbili. ABC na Plaza Cinema. Nilikuwa sikosi kwenda pale plaza kila jumapili saa nne kuangalia sinema. Hata kama sijapewa hela na mshua lazima niende ongalao niambulie fungulia mbwa.
Masteling wa wakati huo, Amitha Batchan, Mithuny Chakraborty, Rish Kopoor,Rajesh Kumar, Denzolpa, kwa upande wa kina mama walikuwepo kina Jaya, Hemma Malini, nk.
Movie nazozikumbika, Nasseb,Amne Samne, nk. Kotambo sana.
Kumbi za disco zilikuwa ni Vijana club, Libert hotel iliyokuwa karibu na green view ambayo ilikuja kuungua baadae.
Mafuta ya kupaka wakati huo ni YOU na YOLANDA yaliyokuwa kwenye mkebe. Mengine ni rays, Ashanti. Wajanja walikuwa wanavaa jenzi na rabber mtoni kama Ascot. Suruali za kitambaa zilikuwa Cacha rell, Mr Dio nk.
Wahusika wa kuu kwenye kazeti la Sani. Kipepe, Lodi lofa, Sokomoka, Pimbi, Madenge,na Yule mpiga roba nani sijui nimemsahau.
Mc Sukununu.
Hadithi zilizowahi kutamba wakati huo kwenye gazeti la sani na mtunzi akiwa marehemu Hammie Rajab ni pamoja na Pumbazo La moyo, Usiku waGiza ya Joyce na Dalanda na kibibi Gula.
Dah muda umeenda aisee, ila kama juzi tu.
Masela wa miaka hiyoMuonekano wa vijana wa miaka hiyo. View attachment 1254653
MabitozMasela wa miaka hiyo
Daaah! Boss wangu hongera sana.Nilikuwepo, japo nilikuwa dogo lakini nilijua kusoma na kuandika. Hili toleo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi mara mbili kama sikosei.
Nilikuwa moshi ambapo ndio kwetu. Nakumbuka kipindi hiko mabasi ya town trip kcmc, kiboriloni yalikuwa ni SHIMAWIMO. Yaani (SHIrika la MAendeleo WIlaya ya MOshi)
Kumbi za cinema zilikuwa mbili. ABC na Plaza Cinema. Nilikuwa sikosi kwenda pale plaza kila jumapili saa nne kuangalia sinema. Hata kama sijapewa hela na mshua lazima niende ongalao niambulie fungulia mbwa.
Masteling wa wakati huo, Amitha Batchan, Mithuny Chakraborty, Rish Kopoor,Rajesh Kumar, Denzolpa, kwa upande wa kina mama walikuwepo kina Jaya, Hemma Malini, nk.
Movie nazozikumbika, Nasseb,Amne Samne, nk. Kotambo sana.
Kumbi za disco zilikuwa ni Vijana club, Libert hotel iliyokuwa karibu na green view ambayo ilikuja kuungua baadae.
Mafuta ya kupaka wakati huo ni YOU na YOLANDA yaliyokuwa kwenye mkebe. Mengine ni rays, Ashanti. Wajanja walikuwa wanavaa jenzi na rabber mtoni kama Ascot. Suruali za kitambaa zilikuwa Cacha rell, Mr Dio nk.
Wahusika wa kuu kwenye kazeti la Sani. Kipepe, Lodi lofa, Sokomoka, Pimbi, Madenge,na Yule mpiga roba nani sijui nimemsahau.
Mc Sukununu.
Hadithi zilizowahi kutamba wakati huo kwenye gazeti la sani na mtunzi akiwa marehemu Hammie Rajab ni pamoja na Pumbazo La moyo, Usiku waGiza ya Joyce na Dalanda na kibibi Gula.
Dah muda umeenda aisee, ila kama juzi tu.
Uishi maisha marefuNilikuwepo, japo nilikuwa dogo lakini nilijua kusoma na kuandika. Hili toleo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi mara mbili kama sikosei.
Nilikuwa moshi ambapo ndio kwetu. Nakumbuka kipindi hiko mabasi ya town trip kcmc, kiboriloni yalikuwa ni SHIMAWIMO. Yaani (SHIrika la MAendeleo WIlaya ya MOshi)
Kumbi za cinema zilikuwa mbili. ABC na Plaza Cinema. Nilikuwa sikosi kwenda pale plaza kila jumapili saa nne kuangalia sinema. Hata kama sijapewa hela na mshua lazima niende ongalao niambulie fungulia mbwa.
Masteling wa wakati huo, Amitha Batchan, Mithuny Chakraborty, Rish Kopoor,Rajesh Kumar, Denzolpa, kwa upande wa kina mama walikuwepo kina Jaya, Hemma Malini, nk.
Movie nazozikumbika, Nasseb,Amne Samne, nk. Kotambo sana.
Kumbi za disco zilikuwa ni Vijana club, Libert hotel iliyokuwa karibu na green view ambayo ilikuja kuungua baadae.
Mafuta ya kupaka wakati huo ni YOU na YOLANDA yaliyokuwa kwenye mkebe. Mengine ni rays, Ashanti. Wajanja walikuwa wanavaa jenzi na rabber mtoni kama Ascot. Suruali za kitambaa zilikuwa Cacha rell, Mr Dio nk.
Wahusika wa kuu kwenye kazeti la Sani. Kipepe, Lodi lofa, Sokomoka, Pimbi, Madenge,na Yule mpiga roba nani sijui nimemsahau.
Mc Sukununu.
Hadithi zilizowahi kutamba wakati huo kwenye gazeti la sani na mtunzi akiwa marehemu Hammie Rajab ni pamoja na Pumbazo La moyo, Usiku waGiza ya Joyce na Dalanda na kibibi Gula.
Dah muda umeenda aisee, ila kama juzi tu.
92 kaka.Dogo wa tisini na ngapi wewe?
Poa92 kaka.
Pale unapojiona uliyemuita dogo ni mkubwa kuliko wewe,
Duuuu! Mtu 92 awe mkubwa kuliko mimi? Hilo gazeti la sani nililisoma kipindi linatoka sasa jiulize kama 1987 nilikuwa naweza kusoma mimi ni wa lini?Pale unapojiona uliyemuita dogo ni mkubwa kuliko wewe,
[emoji3][emoji38]
Walikuwa wahindi wale, wana pua kama openerKulikua na gazeti la mzalendo nilikua nafatilia sana hadithi za sunche na kapeto nilikua naamini wanaishi dar
[emoji1316] sawa kaka mkubwaDuuuu! Mtu 92 awe mkubwa kuliko mimi? Hilo gazeti la sani nililisoma kipindi linatoka sasa jiulize kama 1987 nilikuwa naweza kusoma mimi ni wa lini?