Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Nilikuwepo, japo nilikuwa dogo lakini nilijua kusoma na kuandika. Hili toleo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi mara mbili kama sikosei.

Nilikuwa moshi ambapo ndio kwetu. Nakumbuka kipindi hiko mabasi ya town trip kcmc, kiboriloni yalikuwa ni SHIMAWIMO. Yaani (SHIrika la MAendeleo WIlaya ya MOshi)

Kumbi za cinema zilikuwa mbili. ABC na Plaza Cinema. Nilikuwa sikosi kwenda pale plaza kila jumapili saa nne kuangalia sinema. Hata kama sijapewa hela na mshua lazima niende ongalao niambulie fungulia mbwa.

Masteling wa wakati huo, Amitha Batchan, Mithuny Chakraborty, Rish Kopoor,Rajesh Kumar, Denzolpa, kwa upande wa kina mama walikuwepo kina Jaya, Hemma Malini, nk.

Movie nazozikumbika, Nasseb,Amne Samne, nk. Kotambo sana.

Kumbi za disco zilikuwa ni Vijana club, Libert hotel iliyokuwa karibu na green view ambayo ilikuja kuungua baadae.

Mafuta ya kupaka wakati huo ni YOU na YOLANDA yaliyokuwa kwenye mkebe. Mengine ni rays, Ashanti. Wajanja walikuwa wanavaa jenzi na rabber mtoni kama Ascot. Suruali za kitambaa zilikuwa Cacha rell, Mr Dio nk.

Wahusika wa kuu kwenye kazeti la Sani. Kipepe, Lodi lofa, Sokomoka, Pimbi, Madenge,na Yule mpiga roba nani sijui nimemsahau.

Mc Sukununu.

Hadithi zilizowahi kutamba wakati huo kwenye gazeti la sani na mtunzi akiwa marehemu Hammie Rajab ni pamoja na Pumbazo La moyo, Usiku waGiza ya Joyce na Dalanda na kibibi Gula.

Dah muda umeenda aisee, ila kama juzi tu.
Katika hao superstars wa Kihindi umemsahau mkongwe Dharmendra.
 
Nmemkumbuka PIPI kwenye gazeti LA mzalendo cjui vile daaah
 
Daaah! Boss wangu hongera sana.
Nimekumbuka hayo mafuta ya yolanda aisee!
 
Uishi maisha marefu
 
Kulikua na gazeti la mzalendo nilikua nafatilia sana hadithi za sunche na kapeto nilikua naamini wanaishi dar
 
Pale unapojiona uliyemuita dogo ni mkubwa kuliko wewe,
[emoji3][emoji38]
Duuuu! Mtu 92 awe mkubwa kuliko mimi? Hilo gazeti la sani nililisoma kipindi linatoka sasa jiulize kama 1987 nilikuwa naweza kusoma mimi ni wa lini?
 
[emoji1316] sawa kaka mkubwa
 
Back
Top Bottom