Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Bwana mdogo haujambo??.Miaka hiyo nilikua bado sijafika duniani,
lakini naona mavazi ya kwenye hiyo michoro ndio inavaliwa sasa hivi au fashoon imerudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana mdogo haujambo??.Miaka hiyo nilikua bado sijafika duniani,
lakini naona mavazi ya kwenye hiyo michoro ndio inavaliwa sasa hivi au fashoon imerudi?
Heshima yako Mhenga.Nilikuwepo, japo nilikuwa dogo lakini nilijua kusoma na kuandika. Hili toleo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi mara mbili kama sikosei.
Nilikuwa moshi ambapo ndio kwetu. Nakumbuka kipindi hiko mabasi ya town trip kcmc, kiboriloni yalikuwa ni SHIMAWIMO. Yaani (SHIrika la MAendeleo WIlaya ya MOshi)
Kumbi za cinema zilikuwa mbili. ABC na Plaza Cinema. Nilikuwa sikosi kwenda pale plaza kila jumapili saa nne kuangalia sinema. Hata kama sijapewa hela na mshua lazima niende ongalao niambulie fungulia mbwa.
Masteling wa wakati huo, Amitha Batchan, Mithuny Chakraborty, Rish Kopoor,Rajesh Kumar, Denzolpa, kwa upande wa kina mama walikuwepo kina Jaya, Hemma Malini, nk.
Movie nazozikumbika, Nasseb,Amne Samne, nk. Kotambo sana.
Kumbi za disco zilikuwa ni Vijana club, Libert hotel iliyokuwa karibu na green view ambayo ilikuja kuungua baadae.
Mafuta ya kupaka wakati huo ni YOU na YOLANDA yaliyokuwa kwenye mkebe. Mengine ni rays, Ashanti. Wajanja walikuwa wanavaa jenzi na rabber mtoni kama Ascot. Suruali za kitambaa zilikuwa Cacha rell, Mr Dio nk.
Wahusika wa kuu kwenye kazeti la Sani. Kipepe, Lodi lofa, Sokomoka, Pimbi, Madenge,na Yule mpiga roba nani sijui nimemsahau.
Mc Sukununu.
Hadithi zilizowahi kutamba wakati huo kwenye gazeti la sani na mtunzi akiwa marehemu Hammie Rajab ni pamoja na Pumbazo La moyo, Usiku waGiza ya Joyce na Dalanda na kibibi Gula.
Dah muda umeenda aisee, ila kama juzi tu.
Sijambo bwana mkubwa, kheir?Bwana mdogo haujambo??.
Marhabaaaa kijana.Sijambo bwana mkubwa, kheir?
Ni ya kweli hayo kwamba Balozi wa TZ - KUWAIT alikuwa Mwaseco? Maana nimemaliza hapo form four 1989. Na 1984 nilikuta tayari inaitwa Mwanza sec.Kutili plaza? Kutili kabati ya mbeho? Enzi hizo ukitaka kuoa mchagga? Tv ilikuwa ni chuo cha polisi na chuo cha ushirika tu. Umesahau YMCA. Balozi wa Tanzania nchini Kuwait alikuwa form four chopra sec (mwanza sec school).
Khaah! JamaniiiiMarhabaaaa kijana.
Nimeona niwahi mapema kabisaa!!!.Khaah! Jamaniiii
Hahaha sio mbaya ngoja nikupe ile official kabisa,Nimeona niwahi mapema kabisaa!!!.
MarhabaaaaHahaha sio mbaya ngoja nikupe ile official kabisa,
Shikamoo kaka Rich,
[emoji851]
Alimiza form four 1986 mwaseco. Alifundishwa Fizikia na mwl Mugyabuso na mahesabu mwl Mkono; mwl Kashusura history etc! Walikuwa na Marehemu Pendo etc Mwl Deya akiwa mwl mkuu kama sikosei.Ni ya kweli hayo kwamba Balozi wa TZ - KUWAIT alikuwa Mwaseco? Maana nimemaliza hapo form four 1989. Na 1984 nilikuta tayari inaitwa Mwanza sec.
Itakuwa sahihi maana mi nilianza form one 1986. Hao walimu wote niliwakuta na Mwl. Kashushura kwasasa ni jirani yangu ninapoishi alinifundisha geography. Mkono alinifundisha Additional Maths kwasasa ni marehemu.Alimiza form four 1986 mwaseco. Alifundishwa Fizikia na mwl Mugyabuso na mahesabu mwl Mkono; mwl Kashusura history etc! Walikuwa na Marehemu Pendo etc Mwl Deya akiwa mwl mkuu kama sikosei.
Kazi kufuga minywele tuMambo namna hii View attachment 1254656
Baba ubaya sijuzi tu hapa baada ya kuingia millenniumHao nao pia walikuwa moto sana na waliishi katika tabia zao kama watu kweli, baadae sana ndipo akazuka m'babe mmoja katika gazeti la Kiu anaeitwa Baba ubaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huyo jamaa shingo yake alivyo ifanya daahh!Muonekano wa vijana wa miaka hiyo. View attachment 1254653
PostaTraffic akitazama leseni ya dereva wa kizungu....hii ni miaka ya themanini. View attachment 1254623
Basi hii LY sikuwahi kuelewa inamaanisha Nini, maana nilikuwa nawasikia lasaba wanajiita LY Nikiwa madarasa ya chini. Daah!Mwaka 1987, ulikuwa LY ....LAST YEAR ....tukiita hivyo enzi hizo, kumaliza Elimu ya Msingi
Dah safi sana mkuu, umenikumbusha mbali sana, enzi za Plaza, PICHA MBILI, KIINGILIO KIMOJA. Hiyo inaanzia sa 4 mpk liamba, dah MO TOWN tuliitendea haki sana na pale ABC kama waenda Railway StationNilikuwepo, japo nilikuwa dogo lakini nilijua kusoma na kuandika. Hili toleo lilikuwa linatoka mara 1 kwa mwezi mara mbili kama sikosei.