industry ya animation bado sana hapa kwetu japan wako mbali kuna kipindi nilikutana na jamaa flani kutoka urusi kwenye pombe akaniambia ana idea ya kufanya animation ishu za elimu hapa Tanzania nimsaidie connection nikachukua contact zake bahati mbaya nilipoteza alafu enzi hizo hata hawa ubongo kids hawajaanzahivi haki miliki ya sani inahodhiwa na kampuni ipi kwa sasa ? halfu kwanini watu hwanunui haki miliki wakatutengenezea hata series ya animination ya wahusika toka ktk haya majarida
Mmmh mweh[emoji848]Muuza samaki akipita maeneo ya Posta miaka hiyo View attachment 1254528
Wengine wazazi wetu hawawazi kama watatuleta duniani ama vipi,[emoji848][emoji848]mwaka 1986 kuelekea 1987 niklikuwa napiga hesabu za kubakisha mwaka mmoja nimalize shule du jamani enzi hizooo
@Mshana Jr kuna jamaa ako hapoMuonekano wa vijana wa miaka hiyo. View attachment 1254653
Duuuh, kumbe wewe mdogo sanaWengine wazazi wetu hawawazi kama watatuleta duniani ama vipi,[emoji848][emoji848]
Sina udogo wowote ila hiyo miaka ya 87 na 89 sikuwepo dunianiDuuuh, kumbe wewe mdogo sana
Ana goma lake la kila siku linaitwa Zena.Ingawa hajawahi kufanikisha kwa warembo [emoji16]
Hiyo min bus ya kijani ndo zilikuwa daladalaUhuru roadView attachment 1527101
Hey like seriously?Madenge ni mtu kabisa. Nilishawahi kukutana naye Tandale. Ila kwa sasa umri umesogea kidogo. Nilimpa 5,000 nikaachana naye. Namba yake nnayo
Udogo wa umriSina udogo wowote ila hiyo miaka ya 87 na 89 sikuwepo duniani
Kasim majaliwa enz zake hizoMuonekano wa vijana wa miaka hiyo. View attachment 1254653
Eti MsukumakizaziItakuwa sahihi maana mi nilianza form one 1986. Hao walimu wote niliwakuta na Mwl. Kashushura kwasasa ni jirani yangu ninapoishi alinifundisha geography. Mkono alinifundisha Additional Maths kwasasa ni marehemu.
Hatari sanaHahaha 1987 nilikuwa naingia daras la saba pale Mnazi mmoja primary school, usafifi ulikuwa UDA kwa sana, na kulikuwa na daladala zenye kujulikana kwa majina kama vile , simbaluwala, dau la mmyonge
Huyo namba 6 ndiye huyu huyu wa leo?Waliosimama
1. Komred kipepe (captain)
2.Kaisi
3. Kibinde
4. Huhi huhi
5. Mjomba Kobelo
6. Mzee Meko
Waliochuchumaa
7. Kashe
8.Mjomba ugimbi
9. Madenge (Gk)
10. Kizibao
11. Zoba
Kwa taarifa tu
Madenge yupo hai ila ameshakua mtu mzima sana.
Waliosimama wote wameshaaga Dunia.
Ukiachana na Madenge wengine afya zao mahututi sana.View attachment 1657332
Maelezo mazuri, tunashukuru kwa kuweka mabo sawa.
Ila, mashindano ya nini ndugu? Kama mtu amelikuta Sani la miaka ya 80 tatizo liko wapi? mwache aendeleze utamu mahala alikoukutia...
Tena bora huyo aliwahi, mimi nimelisoma kuanzia mwaka 96, na nililifurahia sana.
Sometimes being old does not mean everything in life, pay some respect to your amateur, since they do the same to you
Waliosimama
1. Komred kipepe (captain)
2.Kaisi
3. Kibinde
4. Huhi huhi
5. Mjomba Kobelo
6. Mzee Meko
Waliochuchumaa
7. Kashe
8.Mjomba ugimbi
9. Madenge (Gk)
10. Kizibao
11. Zoba
Kwa taarifa tu
Madenge yupo hai ila ameshakua mtu mzima sana.
Waliosimama wote wameshaaga Dunia.
Ukiachana na Madenge wengine afya zao mahututi sana.View attachment 1657332