kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
industry ya animation bado sana hapa kwetu japan wako mbali kuna kipindi nilikutana na jamaa flani kutoka urusi kwenye pombe akaniambia ana idea ya kufanya animation ishu za elimu hapa Tanzania nimsaidie connection nikachukua contact zake bahati mbaya nilipoteza alafu enzi hizo hata hawa ubongo kids hawajaanzahivi haki miliki ya sani inahodhiwa na kampuni ipi kwa sasa ? halfu kwanini watu hwanunui haki miliki wakatutengenezea hata series ya animination ya wahusika toka ktk haya majarida