Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Sikuwepo kipindi hiko Ila mshua wangu alikuepo na alikuwa mpenzi sana wa hayo majarida!
Alikuwa ananisumulia sana hasa alipokuwa akiniona nasoma vituko kwenye gazeti la Sani la siku hizi.
 
Hahahaaa hili gazeti bado lipo nyumbani, mzee alikua mpenzi sana wa magazeti katengeneza mpaka library ya vitabu na magazeti
 
Basi siku zote nilijua unatokea kwetu Bunda.
 
Kutili plaza? Kutili kabati ya mbeho? Enzi hizo ukitaka kuoa mchagga? Tv ilikuwa ni chuo cha polisi na chuo cha ushirika tu. Umesahau YMCA. Balozi wa Tanzania nchini Kuwait alikuwa form four chopra sec (mwanza sec school).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…