Unakumbuka nini kuanzia Mwaka 1998 hadi 2000?

Mvinyo unawekwa ndani ya friji! Tusiwe tunaiga tusiyoyajua.
 
Una umri wa miaka 13 unazunguruka na Pijo 306 ya home mitaani! Wewe jamaa fix sana.
 
"Demu wangu enzi hizo alikuwa anakaa km 160 kutoka nilipo"! Hii ni sawa toka Arusha kwenda Babati(165×2) kumchukua na kumrudisha demu! Huu ni uongo wa kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…